Huu hapa ukweli kuhusu majini (eneo ambalo wanapatikana kwa wingi jijini Dar es Salaam)

Ukiwauliza tangible evidence ya uwepo wa muumba muweza wa yote wanaishia kukutisha!....hehehe....Mara wakuletee vifungu vya biblia au Qur'an
Dhana ya Mungu kuwapo ni coping mechanism kwa baadhi ya watu. Inawapa faraja kwamba hata kama wao hawana majibu ya maswali magumu, kuna Mungu anajua.

Hata kama wanapata matatizo, Mungu atasawazisha kwa haki siku moja.

Sasa, ukiwaonesha hawa watu kwamba huyo Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo, wanaona umewaondolea coping mechanism, umewaondolea identity kama viumbe wa Mungu, umewaondolea mengi sana.

Wengi wanakataa, hata kama ni kwa cognitive dissonance.
 
Lakini mkuu si ni wewe hapo ndio hasa unakataa uwepo wa Muumba Kwa cognitive dissonance.
Waamini wa dini zote hawako hivyo wao wanaamini Muumba yupo kwao yupo yupo tu hawana contradiction kabisa.
Wenye contradiction ni wale wasio amini.
Kwa sababu wasio amini pia wanashindwa kuleta prove kuwa Muumba yupo,wanabaki tu na logic ambazo nazo kwazo wamejifunza Kwa wajuzi wa mambo huko ulimwengu wa waliopiga hatua.
 
Tukupeni muda na uelezee kinagaubaga kuwa Muumba hayupo,hutoweza Kwa sababu huna hayo maarifa Sana sana huwa naona mnaishia ku copy kazi walizofanya wajuzi wa ulimwengu wa Kwanza huko na mkisha challenge wa mnaishia kusema kudai,,HAMNA AKILI YA KUELEWA HAYA MAMBO MAKUBWA.
Nionavyo Mimi mtu anajinasibu Kujua jambo Fulani alafu anashindwa kulieleza Kwa ufasaha kila moja akaelewa basi naye huyo hajui chochote.
Ina faida gani kama jambo unaelewa wewe tu jamii unayochangamana nayo unashindwa kuielewesha.Pasina Shaka hilo jambo lako ni kama hewa tu halina uhalisia Kwa sababu huwezi kulielezea.
 
Mkuu Hufai kuwa kuongozi, huwezi katishwa tamaa na mtu usiye muona, shusha madini Mkuu!!? [emoji120][emoji120][emoji120]
 
Nyie ndio mnaharibu uhifadhi.huo msikit wa kale unahifadhiwa kwa mujibu wa sheria.eneo hilo zaman lilikua mji wa kihistoria ulioishi jamii ya wagen kutoka mabara ya mbali na kuishi na wagen na kuleta muingiliano.
Mji wa kihistoria wa kilwa pamoja na miji hii muhimu midogo midogo ndio inayounganisha the so called slave trade route in the Eastern coastal areas. Usichkue mawe au matumbawe unaharibu majengo.pale feri mnara wa mjeruman wa kuongozea meli pamoja na gati vinakufa kwa lile jumba kujaa mateja na wavuta bangi.ni wakat sasa wahusika kuingia front na kuokoa haya.
 
Tanga wapo hadi majini wanaouza samaki pale Makorora, wenye 'macho' huwaona, ila wengi wao ni wale wa hali ya chini sana na hupenda kuishi kama binadamu
 
Nope ur not right my sister
Niko right kwa mtazamo wangu.
Na nina uhakika nao
-Naamini tangu umeingia JF miaka mingi sana ushaanzisha mada nyingi & ushapata Challenge nyingi pia...Mtu mzima kama wewe huwezi kususa kisa watu wawili watatu wamekupinga unless uamue tu kuishia hapo!!

Yani kama mtu kabisaaa umeamua kutoka ndani ya moyo kuwa nawafunza /nayamwaga haya hadharani ukwamishwe na watu kadhaa

Aah hai-make sense
 
Sidanganyiki
 
Hujafanya utafiti sawasawa .
Tanzania. Wachagga ndio wanaoongoza Kwa Mila na matambiko.
Ndio matajiri na wafanyabiashara ukiacha wahindi na Waarabu.
Wakinga Hawa wanajulikana ni mabilionea lakini Kwa kutumia mambo ya asili.

Wasambaa ni matajiri sana .
Wasukuma ni matajiri wa biashara na mifugo.
Ile Kanda ya Ziwa wasukuma ni mabilionea lakini ni mambo ya asili wanafiki nayo.

Wamasai ni matajiri wakubwa wa mifugo.
Wana matambiko yao ya kimila.

Tofautisha matambiko ya kimila na uchawi.
Waarabu Wanadua zao na matambiko yao ambayo wameyaunganisha na dini.

Waafrika wengi wamepoteza zile Mila na matambiko yao na hapo ndipo tatizo lilipo.

Hata kama ni Ukristo una Mila zake na matambiko yake.
Matambiko ya Ukristo wa kweli ni Damu ya Yesu . Hapa panahitaji Imani halisi ya Kikristo na Mila za Kiyahudi au mtu afuate Ukristo wa uongo na Mila na Imani za upagani wa Ulaya / Kirumi.
Wanaofuata hayo wanatoboa vibaya.

Kwa hiyo mleta mada yupo sahihi.
Wachina Wana Mila na Imani kali sana na zinafanya kazi.
Waafrika wamepokea dini bila kujua Nini kipo kwenye dini hizo kwenye mauala la matambiko na kafara. Waislam wanachinja kila mwaka lakini hawsjiulizi ni Kwa Nini Warabu wanachinja mamilioni ya Kondoo na ngome wakati huo na kugawa nyama Kwa kila kila mtu bila kujali dini.
Yale ni matambiko ya kumwaga damu.
 
Kuna mfano mdogo TU kule Singida Kuna kijana ana nguvu na uwezo wa kinyanyua vitu vizito ambavyo kisayansi haiwezekani kuvinyanyua.

Ukimwangalia Kwa umbo ni mtu wa kawaida sana.
Sasa hapo ni Nini kama sio nguvu za asali zilizoko juu yake.

Huenda akawa kama Samsoni kwenye Biblia liyekuwa na nguvu kubwa sana .
Huyo Kwa Sababu ni muafrika wazungu na Makristo wa uongo watafanya kila mbinu aonekane kama mchawi TU na mtu wa mazingambwe na ana mapepo wachafu hastahili kuitwa Mkristo Wala kusema yeye ni mtu wa Mungu. Tena ataambiwa akemewe ili hayo mapepo yamtoke.
Wakati huyo kijana anasema kuwa yeye amezaliwa akiwa hivyo ila alikua hajui uwezo wake mpaka siku Moja mvua iliponyesha na maji kujaa Barabarani ndipo alipoamua kibeba pikipiki yake na kuvuka. Alishangaa ameinyanyua na kuibeba kama kitu chepesi TU. Watu wakamshangaa sana. Ndio akawa anakumbuka kuwa hata akiwa mdogo alikua anabeba maji umbali mrefu bila kuchoka huku akiwa ameshika ndoo mbili.
Mwili wake ni WA kawaida lakini anavuta gari peke yake bila tatizo .

Kuna nguvu na mambo yaliyopo ambayo sayansi haiwezi kuyajibu.

Kuna Elimu kubwa Wazungu hawakutufundisha Leo japo wale Wakisionari wa Mwanzo na Waarabu Mashekhe wa mwanzo waliwafundisha watu wao wa karibu.

Kuna kitabu kinaitwa "THE COMPLETE BOOK OF FORTUNE." ambacho Kwa asilimia kubwa Napolion alikua anatumia sana mbinu zake kushinda .
Ni kitabu nilichokua nimekupata Kwa Mzee Mmoja alikua msomi enzi za ukoloni.Alipewa na mzungu mmoja. Kwa Sasa kimechoka lakini kina mambo Mengi sana ambayo sisi waafrika hatuyajui lakini wazungu wanayayajua hasa wale wenye miaka zaidi ya 45 .

Kimetaja mpaka majina mengine ya Malaika ambayo kwenye Vitabu vya dini hayakutajwa. Utabiri Kwa kutumia karata na maana ya picha kwenye karata. Mikosi . Wanyama wenye mikosi ukikutana nao n.k. Kutabiri kama mtoto atazaliwa wa kiume au wa kike ,Kutabiri kama mgeni aliyesema atakuja atakuja kweli ! Kutabiri kama mgonjwa atapona n.k.

Hakikuandikwa Afrika Wala na mwafrika . Ni kitabu chenye page zaidi ya 690.

Kwa hiyo ni vizuri tunamshukuru Mleta mada Kwa kutufanya tufanye utafiti na kujua Mengi zaidi.
Je,wazungu walikuja kutuletea Elimu TU ya kukaa ofisini na kulipiwa mishahara basi au Kuna Elimu zaidi waliyoiacha kwao Kwa hofu ya kuwachanganya watu hasa wale wasio na akili nzuri ?

Mfano hata kwenye familia za watu mashuhuri wanaoitwa wachawi huku Afrika walishindwa kurithisha Elimu hiyo Kwa kila mtoto mana Kuna watoto wasio na akili nzuri.
Mwishowe Elimu zile zilipotea. Watu walikua wanapiga juu ya maji kama Yesu. Watu walikua wanapiga maji yanagawanyika kama Musa huku huku Afrika lakini baadae walipokuja wasomi wakawafundisha watu kusoma na kuandika na kuwaambia kuwa wasijifunze Elimu nyingine yoyote nje ya hiyo ya Darasa la mzungu. Nyingine zote zikaitwa za kishenzi na watoto wakaamini hivyo kutokana na kupewa vitu vizuri vya macho kama nguo ,tai, viatu ,Kiko Cha kuvutia sigara ,pombe iliyowekwa kwenye chupa n. k
 
𝐊𝐰𝐚𝐧𝐢𝐧𝐢 𝐢𝐬𝐢𝐰𝐞𝐳𝐞𝐤𝐚𝐧𝐞 𝐤𝐮𝐢𝐩𝐚𝐭𝐚 𝐄𝐥𝐢𝐦𝐮 𝐲𝐚 𝐳𝐚𝐦𝐚𝐧𝐢?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha ujinga watu wanapata elimu wewe unaleta upumbavu wako hapa,hivi kwanini mnapenda kuvuruga nyuzi za wenzenu? Yaani nakereka sana na mapoyoyo kama hili jamaa
Elimu gani? Kwani ni uongo kwamba hizo ni theories? Kwani hizo ni facts zilizothibitishwa pasi na shaka?
Unaweza kunithibitishia pasi na shaka kuwa
Majini ni viumbe ambao wapo more developed in technology kuliko binadamu? Hata area 51 bdo ni theories tu hakuna evidence, ni hearsay na speculations.
 
You are the true son of your father
 
You are the true son of your father
 
Nani mbabe kati ya majini na aliens?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…