if "mambo ya asili" is something that powerful, kwanini majority ya watz wanaomini na ku practice hizo mambo, kiuchumi wapo dhohofu lihali?. huhitaji degree kulitambua hilo.
kwanini ni jamiii hizo tu ulizotaja ndio zinaonekana kufanikiwa zaidi duniani ktk nyanja zote(uchumi,sayansi,huduma za kijamii nk)?.
naomba majibu yako ndg. mtaalamu.
Hujafanya utafiti sawasawa .
Tanzania. Wachagga ndio wanaoongoza Kwa Mila na matambiko.
Ndio matajiri na wafanyabiashara ukiacha wahindi na Waarabu.
Wakinga Hawa wanajulikana ni mabilionea lakini Kwa kutumia mambo ya asili.
Wasambaa ni matajiri sana .
Wasukuma ni matajiri wa biashara na mifugo.
Ile Kanda ya Ziwa wasukuma ni mabilionea lakini ni mambo ya asili wanafiki nayo.
Wamasai ni matajiri wakubwa wa mifugo.
Wana matambiko yao ya kimila.
Tofautisha matambiko ya kimila na uchawi.
Waarabu Wanadua zao na matambiko yao ambayo wameyaunganisha na dini.
Waafrika wengi wamepoteza zile Mila na matambiko yao na hapo ndipo tatizo lilipo.
Hata kama ni Ukristo una Mila zake na matambiko yake.
Matambiko ya Ukristo wa kweli ni Damu ya Yesu . Hapa panahitaji Imani halisi ya Kikristo na Mila za Kiyahudi au mtu afuate Ukristo wa uongo na Mila na Imani za upagani wa Ulaya / Kirumi.
Wanaofuata hayo wanatoboa vibaya.
Kwa hiyo mleta mada yupo sahihi.
Wachina Wana Mila na Imani kali sana na zinafanya kazi.
Waafrika wamepokea dini bila kujua Nini kipo kwenye dini hizo kwenye mauala la matambiko na kafara. Waislam wanachinja kila mwaka lakini hawsjiulizi ni Kwa Nini Warabu wanachinja mamilioni ya Kondoo na ngome wakati huo na kugawa nyama Kwa kila kila mtu bila kujali dini.
Yale ni matambiko ya kumwaga damu.