Huu hapa ukweli kuhusu majini (eneo ambalo wanapatikana kwa wingi jijini Dar es Salaam)

mleta mada wewe waambie watu ukweli sehemu yenye majini kibao ni kuanzia Ferry Mikadi pasua beach yote ya malaika nenda mpaka mji mwema shuka Kibugumo Geza muongozo nenda Mbutu rudi Kimbiji mpaka Pemba mnazi huko ndio kwenye vilinge vyenyewe vya majini au ujinini msihangaike kuumiza kichwa kua ni wapi
 
Umekosa. Si bora hata ungesema pwani ya mikocheni wanakuwagepo siku kadha wa kadha nyakati za usiku
 
mfano mbutu bandarini kuna sehem ina msitu una mibuyu mingii na msikiti wa kale wenyeji wanasema ulimezwa na bahari baadae ndo ukaonekana umebaki eneo la kibla na kuna kaburi la aliekua shehe wa msikiti huo.
Humo kwenye msitu kuna mawe mazuri sana yanavutia yanawaka kama kiakisi mwanga na yana rangi tofaut ukichukua hayo mawe ukitoka tu kwenye msitu mawe yanapotea na ukirudi ulipoyatoa unayakuta.
nilitamani kuyabeba nikaweke home kama urembo imagine mfuko mzima wa 200 nilijaza kutoka tubkwenye msitu mfuko uko tupu
 
Aisee...niko hapa leo
 
Siku nyingine mkienda huko pigeni picha na video clip mtuleteee nje ya hapo zinabali kuwa speculations tu
 
Usingeonekana humu ningeona huu uzi ni wa ovyo.
 

Ukisoma elimu ya wanyama ambayo Mfalme Suleiman alijifunza na kuimaster utaweza kujua maana za sauti zinazo tolewa na wanyama mbalimbali.


Sauti za wanyama humaanisha vitu tofauti KWA nyakati tofauti.

Sauti ya mnyama inaweza kuashiria kukuzomea, KWA mfano mwanaume umetoka kumlawiti mwanamke au kufanya tendo lolote baya kama vile kuua au chochote kibaya ambacho unadhani watu wengine hawaja fahamu halafu wakati upo njiani unakutana na ngombe Wana piga moo hiyo inaweza kuwa ni kukuzomea au kukusuta...

Sauti ya wanyama kwako inaweza kuashiria kukutahadharisha na hatari iliyopo mbele YAKO.

Inaweza kuwa kukupongeza, kukusifu, kukulaani, kukushukuru etc.

Na hapo anae kuzomea sio mnyama ila ni nature/universe ndo inakuzomea kupitia huyo mnyama.

So KWA mimi kujua sauti ya huyo paka ina maanisha nini mpaka niwe nimemsikia mwenyewe akilia.


Kingine kuhusu paka, tofauti na watu wengi wanavyo mchukulia, paka ni kiumbe mwenye faida nyingi sana kea binadamu.


Moja Kati ya faida za paka ni pamoja na kusaidia ku absorbed all the negative energy that is sent to you by witches and evil spirits.

Watu wanao fuga paka majumbani na kwenye mabar WANAJUA kuhusu hii siri.

Ukiona paka wako anataka kuja kulala karibu na wewe BASI jua kuna kitu kibaya ameona kinaelekezwa kwako, yeye anazo nguvu za asili kukipooza makali yake au kuki block kisije kwako.


Kama wewe haufugi paka halafu siku hiyo paka akaja nyumbani kwako BASI jua paka huyo amekuja kwako kwa sababu una muhitaji.

The universe imeona kile ambacho hujakiona ndio maana imeamua kukusaidia kupitia paka huyo.

Ukiwa una tembea halafu paka akakatisha mbele yako watu wengi hufikiri ni nuksi lakini hii ina maana kubwa sana yenye faida kubwa sana kwako.

Kutafsiri maana ya paka kukatisha mbele yako kunategemeana na rangi ya paka, muda alio latisha mbele YAKO, etc
 
Hapa ndipp elimu ya mwanadamu inapomsisimua mwenyewe

Lakini elimu kuhusu Roho wa Mungu, Yesu na Malaika zinaonekana ni kula muda.

Haya twende
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…