Huu hapa ukweli kuhusu majini (eneo ambalo wanapatikana kwa wingi jijini Dar es Salaam)

[emoji16][emoji16][emoji16]sasa wawasaidie kati mnawaona vibwengo wakija mnaenda kwa mwaposya[emoji23][emoji23] mnaanza kuwatisha FAYAAH...FAYAAAAH sa si bora wakae zao na wazungu maana ndo wanaona wanaelewana vzuri.
Duh aisee nimecheka sana wengine wako serious wengine wanaleta utani wenye ukweli ndani yake,nimecheka kama Niko Cheka TU.
 
Elimu juu ya elimu. Barikiwa sana mkuu, lakini kama paka c vi aliens kweli?
 
Brother..

You know better.. Secrecy then loyalty.

Coherent on what topic under that circumstances?

Like i said before; you're not a believer and i"m not a prover...that's all..

We can save some time and energy on that conclusion.
So why are you replying to me?

That in itself is incoherent.
 
Wewe kweli ni mtaalam !!
Nimefuatilia hii mada mpaka hapa nimegundua Kuna ukweli Kwa asilimia kubwa sana.

Eeeeendeleaaaaa kumwaga hii Elimu Dunia.
 
mbinu moja wapo ya kujua ni kiasi gani watz wengi(wasomi kwa wasio wasomi), wanaamini ktk uchawi na ushirikina, anzisha mada kama hii halafu tazama muitikio wake.

nawahakikishia, uzi huu utapata engagement kubwa sana kutoka kwa wanajf.
Watu wanaoamini katika asili ndio wanaoutawala ulimwengu. Hata hao wenye teknolojia na waliotulietea hicho unachokiita usomi wanaamini sana katika asili .

Wahindi,
Wachina,
Wajapani,
Wakorea.
Waisraeli
Waarabu,
Na Sasa Wanigeria na wakongo.
Na pia mabilionea Wanaojiita Mitume feki na manabii feki na pia wasanii.
Bila kusahau Wazungu waliojificha nyuma ya pazia la dini za asili ya Rumi au Roman n.k . Wote hao wanajifunza sana mambo ya asili na wapo more advanced katika teknolojia na maarifa.

Unajua ni Kwa ni ni wasomi wa Kiafrika maendeleo yao ni ama kuiba Mali za umma au kuwekeza Kwa kushirikiana na wahindi na sio Vinginevyo. Biashara nyingi zinahitaji maarifa ya asili.
 
eti sitoi siri yet umepoteza muda kibao kuandika. pathetic liar!!
 
Pale kijijini shitimbi na Kule gamboshi kwa akina Bhangoosha Hawa viumbe hawapo🥱
 
deep pond kaka week hii achana na michepuko kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…