Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,133
- 12,361
Kweli, wanapenda sana ushirikina na miujiza.Wanawake ndo wanaongoza kwa Ushirikina.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli, wanapenda sana ushirikina na miujiza.Wanawake ndo wanaongoza kwa Ushirikina.
Nani kakwambia hawapatani, hayo maigizo ya watu kuanguka kwenye mikutano?Kwanini majini na jina la yesu hawapatani?
Uzi si wangu ila nitakujibu kwa uchache sio tanzania pekee nchi nyingi zipo lkn zile zenye ukingo wa bahari au MAZIWA SPECIAL milima mikuu misitu minene na mito pamoja na MAJANGWA makubwaUzi umenifurahisha kitu kimoja tu, kwamba border zote za kwenda huko ziko tanzania
Nb: nasubiri kujua khs mlima kilimanjaro na huo wa ziwa victoria
mbona nakuona na wewe pia ni jinn!I download them from the universal mind. The universe has a mind 🤣🤣🤣🤣
mkuu umenipa hamu ya kupata hayo maarifaUzi si wangu ila nitakujibu kwa uchache sio tanzania pekee nchi nyingi zipo lkn zile zenye ukingo wa bahari au MAZIWA SPECIAL milima mikuu misitu minene na mito pamoja na MAJANGWA makubwa
mfano km ulimsoma vizuri alikwambia mfano shotcut ya VENUS ipo DAR ES SALAM
Barani AMERICA ni kama MEXICO
MEXICO kuna SHOTCUT nyingi za Kuingia HIDDEN word kuweza kuzifikia SAYARI mbalimbali
pia MAREKANI hvyo hvyo
wakati UCHINA pia kuko hvyo kuna SHOTCUT pia na maeneno mengine DUNIANII
lakini kuna SAYARI nyingine huwezi kufika kwa kutokea DUNIANI bila kwanza kufika sayari MAMA
7bu hata MAJINI wenyewe sio wote wanaoweza kuzifikia hizo SAYARI
Na hata majini wenye kuishi HUKO ufanya SAFARI ndefu kuja SAYARI nyingine lakini hawawezi kuja DIRECT duniani
na pia kuna SAYARI nyingine huwezi kufika(BINADAMU) au JINI kuja DUNIANI bila kuondokea ENEO fulani hapa DUNIAN
mfano kuna AINA ya MAJINNI wana nguvu sana wao njia ya kuu ya kufika DUNIANI na kuondoka ipo MAREKANI pekee ili kuweza kufika katika SAYARI yao na SAYARI yao ni ya kipekee na imeendelea sana
na pia sio kila JINI ana uwezo wa kufika hapa DUNIANI hapana ni wachache kwa MISSION MAALUM na KIBALI MAALUM
kusema ukweli watu wanakosa MAARIFA kwa kejeli
lkn km mngekuwa mnauliza maswali kwa kutaka kujifunza HAKIKA mngejifunza mengi sana KUHUSU hii DUNIA yenu
SIkufahamu km LIKUD angekuwa na ufahamu mkubwa hivyo ingawa kuna mengine yupo tofauti kidogo ila siwezi kushangaa
Ndio tabia za MAJINN wakikupa ELIMU yao katika maneno 10 chukua matatu yale unayoona yana mantiki hutakiwi kuwaamini sana MAJINNI watakuteka AKILI yako 7bu ya uwezo wao mkubwa wa PSYCHOLOGY kiasi kuna wengine wanafikia mpk 80 ya kusoma mawazo na ikawa hvyo
mfano niliambiwa usiniongopee unamuona huyu anajua unachowaza hvyo kila unachoongea zungumza ukweli
hapo inakuwa tayari kashaanza kuisoma MIND yako
ushawai sikia kifaa fulani kinaittwa LIE DETECTOR MACHINE basi jamaa alogundua hcho kifaa alikuwa na uwezo mkubwa mpk wakawa wanamuona chizi
WAZUNGU wanawafahamu vizuri MAJINNI na zipo Filamu nyingi sana zinawaelezea uwezo wao MAISHA yao even mpk FILAM nyingine zinakuwekea kabisa madhari ya SAYARI zao
Intelligence rules the world and ignorance carries the the burden..[emoji2417] tunashangaza kweli!Wenzetu wanashindana computer chips gani zinakwenda kuongoza Artificial Intelligence dunia ijayo.
Sisi bado tunajadili majini?
Sasa majini wetu mbona hawasaidii Africa iliyo maskini? Kama wapo more developed in technology huo ujuzi wao uko wapi?Majini ni viumbe ambao wapo more developed in technology kuliko binadamu. Look at them from this perspective and not from the spiritual perspective. May be we learn from their technology.. Refer to the mystery of Area 51 in Nevada.
Yesu huyu wa nazareth?A thread that spreads more ignorance and darkness to ever happen in JF. A day of judgement is coming, run to Jesus Christ for the salvation of your soul.
Brother..Being not a prover does not excuse you from being coherent.
I did not ask you to prove anything.
I just asked you to be coherent.
Do you even know what that is?
Hahaha! Hahaha! Dah! Upapase na washeri zao dah! HahahaNa miaka yangu 34 hii sijawahi kumuona jini na sisi mimi mpaka rafiki na ndugu nafikiri na majirani pia .Natamani niwaone hao majini tena ikiwezekana niwapapase washeri zao kenge hao.
SawA mkuu asanteUna nuru ya kutambua mambo mabaya katika ulimwengu wa roho na hiyo nguvu huimarishwa zaidi kwa maombi ya mara kwa mara, kusali kwa imani na kuakisi tabia ya Mungu kivitendo (UPENDO).
Ukienda kinyume tu na hiyo tabia ndipo basi tena hiyo nuru yako hupotea mazima na kuirudisha huwa na gharama zaidi kuliko ungeiishi vyema awali kama ilivyokuwa inatakiwa.
Mfano;
Dhambi ya uzinzi hupeperusha sana hiyo nuru.
1 WAKORINTHO 6:18-20.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Sasa hao walioendelea kuliko sisi mbona hawaji kutushangaa na dunia yetuMajini na Alliens ni tofauti.
Hawa Alliens ni humanoid creatures( human -like creatures) ambao wanaishi katika sayari nyingine na makundi nyota (galaxies) nyingine.
KWA information nilizo nazo, binadamu na viumbe wote waliopo katika sayari ya dunia walikuwa genetically engineered ( created ) kwenye constellation inayo julikana kama ALPHA CENTAURI.
Hapo Alpha CENTAURI ndipo binadamu wa KWANZA walitengenezwa na kisha wakaja kuwa planted hapa duniani.
Umbali wa kutoka duniani HADI ALPHA CENTAURI KWA spidi ya Mwanga ni kilometa 4. Maana yake ni kwamba KWA kutumia chombo chenye spidi ya Mwanga itamchukua mwanadamu miaka elfu 6 na mia tatu kufika Alpha Centauri.
Binadamu alitengenezwa ALPHA CENTAURI lakini raw materials zilizo tumika Kumtengeneza binadamu zilitoka hapa hapa duniani.
Ndo maana inasema ADAM was created from the earth.
Mwili wa binadamu haujatengenezwa kwa udongo kama watu wengi walivyo aminishwa isipokuwa umetengenezwa KWA kutumia mali ghafi zilizo toka kwenye udongo.
Ni SAWA na kusema nguo uliyo vaa imetoka kwenye udongo. Ukweli ni kwamba nguo yako haitokani na udongo ila imetokana na pamba ambayo imelimwa kwenye udongo.
Ndivyo ilivyo KWA binadamu. Mali ghafi zilizo tumika Kumtengeneza mwanadamu zimetoka kwenye udongo. Mfano meno na mifupa( imetokana na aina ya mwamba ambao unapatikana hapa hapa duniani) nywele zimetokana na aina ya majani ( grasses)
Etc etc.
Turudi KWA Alliens
Wakati Mungu anawatengeneza Adam na Hawa, alitengeneza mabilioni ya Adam na Hawa.
Miongoni mwao alikuja kuwapanda hapa kwenye sayari ya dunia na wengine aliwapanda kwenye sayari tofauti tofauti...
Hao walio pandwa kwenye sayari tofauti tofauti ndio hao ambao tuna waita Alliens.
Miongoni mwao wapo ambao wameendelea kiteknolojia kuliko sisi na miongoni mwao, wapo ambao sisi tumeendelea kiteknolojia kuliko wao.
Majini ni tofauti.
Sasa majini wetu mbona hawasaidii Africa iliyo maskini? Kama wapo more developed in technology huo ujuzi wao uko wapi?
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app