Huu hapa ukweli kuhusu majini (eneo ambalo wanapatikana kwa wingi jijini Dar es Salaam)

20221015_073110.jpg

Aisee.🤣
 
Majini na Alliens ni tofauti.

Hawa Alliens ni humanoid creatures( human -like creatures) ambao wanaishi katika sayari nyingine na makundi nyota (galaxies) nyingine.

KWA information nilizo nazo, binadamu na viumbe wote waliopo katika sayari ya dunia walikuwa genetically engineered ( created ) kwenye constellation inayo julikana kama ALPHA CENTAURI.

Hapo Alpha CENTAURI ndipo binadamu wa KWANZA walitengenezwa na kisha wakaja kuwa planted hapa duniani.

Umbali wa kutoka duniani HADI ALPHA CENTAURI KWA spidi ya Mwanga ni kilometa 4. Maana yake ni kwamba KWA kutumia chombo chenye spidi ya Mwanga itamchukua mwanadamu miaka elfu 6 na mia tatu kufika Alpha Centauri.

Binadamu alitengenezwa ALPHA CENTAURI lakini raw materials zilizo tumika Kumtengeneza binadamu zilitoka hapa hapa duniani.

Ndo maana inasema ADAM was created from the earth.

Mwili wa binadamu haujatengenezwa kwa udongo kama watu wengi walivyo aminishwa isipokuwa umetengenezwa KWA kutumia mali ghafi zilizo toka kwenye udongo.

Ni SAWA na kusema nguo uliyo vaa imetoka kwenye udongo. Ukweli ni kwamba nguo yako haitokani na udongo ila imetokana na pamba ambayo imelimwa kwenye udongo.

Ndivyo ilivyo KWA binadamu. Mali ghafi zilizo tumika Kumtengeneza mwanadamu zimetoka kwenye udongo. Mfano meno na mifupa( imetokana na aina ya mwamba ambao unapatikana hapa hapa duniani) nywele zimetokana na aina ya majani ( grasses)

Etc etc.

Turudi KWA Alliens
Wakati Mungu anawatengeneza Adam na Hawa, alitengeneza mabilioni ya Adam na Hawa.

Miongoni mwao alikuja kuwapanda hapa kwenye sayari ya dunia na wengine aliwapanda kwenye sayari tofauti tofauti...

Hao walio pandwa kwenye sayari tofauti tofauti ndio hao ambao tuna waita Alliens.

Miongoni mwao wapo ambao wameendelea kiteknolojia kuliko sisi na miongoni mwao, wapo ambao sisi tumeendelea kiteknolojia kuliko wao.

Majini ni tofauti.
Hizi material unazipata kwenye kitabu gani?
 
Hapa kwenye paka umechemka, paka wa Dar wanatumiwa sana na wachawi, Fanya research yako upya.

Ni kama Mbaazi. Hutumiwa sana na wachawi and at the same time hutumiwa na watu Wema pia.

Paka ana matumizi mengi sana mkuu.

Wanacho fanya wachawi ni kubadilisha matumizi tu kama SHETANI anavyo weza kubadilisha matumizi ya pesa zako badala uzitumie kuisaidia familia wewe unaenda kuzitumia kwenye anasa na mambo mengine.

Ipo siku nitaleta uzi maalumu kuhusu paka tu.

Nitaelezea KILA kitu mpaka hicho unacho sema kuhusu wachawi na hao freemasons
 
Mkuu,, ni hivi juzi tu Jumatatu nilikua natoka msikitini kuswali ile swala ya jioni saa 12 (maghrib) nimevaa zangu kanzu safi, kabla sijafikia geti la nyumba ninayoishi akapita paka mwenye rangi ya brown and white kwenye miguu yangu kwa speed flani dizain kama alikua ananikimbilia mimi,, mpaka nikastuka.

vipi hiyo imekaaje mkuu
Nikumbushe mchana around saa saba nitaelezea maana yake
 
Majini na Alliens ni tofauti.

Hawa Alliens ni humanoid creatures( human -like creatures) ambao wanaishi katika sayari nyingine na makundi nyota (galaxies) nyingine.

KWA information nilizo nazo, binadamu na viumbe wote waliopo katika sayari ya dunia walikuwa genetically engineered ( created ) kwenye constellation inayo julikana kama ALPHA CENTAURI.

Hapo Alpha CENTAURI ndipo binadamu wa KWANZA walitengenezwa na kisha wakaja kuwa planted hapa duniani.

Umbali wa kutoka duniani HADI ALPHA CENTAURI KWA spidi ya Mwanga ni kilometa 4. Maana yake ni kwamba KWA kutumia chombo chenye spidi ya Mwanga itamchukua mwanadamu miaka elfu 6 na mia tatu kufika Alpha Centauri.

Binadamu alitengenezwa ALPHA CENTAURI lakini raw materials zilizo tumika Kumtengeneza binadamu zilitoka hapa hapa duniani.

Ndo maana inasema ADAM was created from the earth.

Mwili wa binadamu haujatengenezwa kwa udongo kama watu wengi walivyo aminishwa isipokuwa umetengenezwa KWA kutumia mali ghafi zilizo toka kwenye udongo.

Ni SAWA na kusema nguo uliyo vaa imetoka kwenye udongo. Ukweli ni kwamba nguo yako haitokani na udongo ila imetokana na pamba ambayo imelimwa kwenye udongo.

Ndivyo ilivyo KWA binadamu. Mali ghafi zilizo tumika Kumtengeneza mwanadamu zimetoka kwenye udongo. Mfano meno na mifupa( imetokana na aina ya mwamba ambao unapatikana hapa hapa duniani) nywele zimetokana na aina ya majani ( grasses)

Etc etc.

Turudi KWA Alliens
Wakati Mungu anawatengeneza Adam na Hawa, alitengeneza mabilioni ya Adam na Hawa.

Miongoni mwao alikuja kuwapanda hapa kwenye sayari ya dunia na wengine aliwapanda kwenye sayari tofauti tofauti...

Hao walio pandwa kwenye sayari tofauti tofauti ndio hao ambao tuna waita Alliens.

Miongoni mwao wapo ambao wameendelea kiteknolojia kuliko sisi na miongoni mwao, wapo ambao sisi tumeendelea kiteknolojia kuliko wao.

Majini ni tofauti.
Asante sana mkuu nmeelewa
 
Kwa UCHACHE tu ni kwamba TANZANIA Wanaiita NCHI ya MAZIWA MAKUU

waliposema BINADAMU wa KWANZA aliishi TANZANIA hawakukosea

TANZANIA ina HISTORIA kubwa na ya kusisimua katika HIDDEN WORD
Nastajabu aliyeichora RAMANI ya TANZANIA je alikuwa anajua haya yote

mkuu LANGO jingine au wewe waita SHORTCUT YA VENUS lipo KIGOMA pia but ni kwa majini wa low PROFILE sana
ukitaka la HIGH PROFILE ndio lipo DAR ESALAAM
lkn pia Lango JINGINE lipo MWANZA

kwa wasiofahamu kunakuwa na mkutano Mkubwa wa KIDUNIA unaohusisha kila SECTA unayoijua wewe katika kujadili MUHKTASARI wa DUNIA katika NYANZA zote unazozifahamu wewe
na hata ukanda wetu wa MAZIWA MAKUU tunatoa MUWAKILISHI
hata hilo TAIFA mnalosema limeendelea KITEKINOLOJIA [emoji1148] linatoa WAWAKILISHI pia

NI kweli kila SAYARI unayoifahamu wewe ina VIUMBE wanaishi kulingana na HALI husika ya hiyo SAYARI
mfano Zebaki majini wanoishi katika SAYARI hiyo wapo katika mfumo wa cheche sijui niseme spock lkn wapo katika mfumo wa moto
kuna mengi mengi mno kuhusu
Ukitaka kuyajua yote utaonekana Chizi
same walivyokuwa wanadhani me ni chizi
ni kama unavyomuona huyu bwana LIKUD unaweza ukahisi km anabwabwanya au alokosa maendeleo asikwambie mtu MAARIFA makubwa lazima uyapate kwa MAJINNI utake usitake ipo hvyo
niishie hapa tu kwa uchache
Sasa byie mnajifanya mmepata hayo maarifa hamsaidii nchi, Bora hizi story zingesimuliwa na wamarekani au wachina au wajapan technology waliyonayo Ingekua supporting evidence.
 
Majini na Alliens ni tofauti.

Hawa Alliens ni humanoid creatures( human -like creatures) ambao wanaishi katika sayari nyingine na makundi nyota (galaxies) nyingine.

KWA information nilizo nazo, binadamu na viumbe wote waliopo katika sayari ya dunia walikuwa genetically engineered ( created ) kwenye constellation inayo julikana kama ALPHA CENTAURI.

Hapo Alpha CENTAURI ndipo binadamu wa KWANZA walitengenezwa na kisha wakaja kuwa planted hapa duniani.

Umbali wa kutoka duniani HADI ALPHA CENTAURI KWA spidi ya Mwanga ni kilometa 4. Maana yake ni kwamba KWA kutumia chombo chenye spidi ya Mwanga itamchukua mwanadamu miaka elfu 6 na mia tatu kufika Alpha Centauri.

Binadamu alitengenezwa ALPHA CENTAURI lakini raw materials zilizo tumika Kumtengeneza binadamu zilitoka hapa hapa duniani.

Ndo maana inasema ADAM was created from the earth.

Mwili wa binadamu haujatengenezwa kwa udongo kama watu wengi walivyo aminishwa isipokuwa umetengenezwa KWA kutumia mali ghafi zilizo toka kwenye udongo.

Ni SAWA na kusema nguo uliyo vaa imetoka kwenye udongo. Ukweli ni kwamba nguo yako haitokani na udongo ila imetokana na pamba ambayo imelimwa kwenye udongo.

Ndivyo ilivyo KWA binadamu. Mali ghafi zilizo tumika Kumtengeneza mwanadamu zimetoka kwenye udongo. Mfano meno na mifupa( imetokana na aina ya mwamba ambao unapatikana hapa hapa duniani) nywele zimetokana na aina ya majani ( grasses)

Etc etc.

Turudi KWA Alliens
Wakati Mungu anawatengeneza Adam na Hawa, alitengeneza mabilioni ya Adam na Hawa.

Miongoni mwao alikuja kuwapanda hapa kwenye sayari ya dunia na wengine aliwapanda kwenye sayari tofauti tofauti...

Hao walio pandwa kwenye sayari tofauti tofauti ndio hao ambao tuna waita Alliens.

Miongoni mwao wapo ambao wameendelea kiteknolojia kuliko sisi na miongoni mwao, wapo ambao sisi tumeendelea kiteknolojia kuliko wao.

Majini ni tofauti.

JE MAJINI NI VIUMBE WABAYA?

JIBU NI HAPANA?.Majini sio viumbe wabaya. Ila miongoni mwao wapo majini waovu.

Majini kwa ujumla.wao ni viumbe Wema ila miongoni mwao wapo majini wabaya.

Majini walio Wema ni wengi kuliko majini walio wabaya.

Sisi tunafikiri majini wabaya ni wengi kuliko majini Wema KWA sababu binadamu Wana interact zaidi na majini wabaya kuliko Wema.

Kama Ng'ombe wangekua wanaongea halafu akatokea n'gombe mmoja aka shuhudia kile binadamu wanacho wafanyia ng'ombe pale vingunguti basi ng'ombe huyo akienda kwao u ng'ombeni atapeleka taarifa kwamba binadamu ni viumbe waovu sana.

Majini Wema ni wengi sana kuliko majini wabaya na wanachukizwa sana na namna majini wabaya wanavyo haribu taswira ya majini miongoni mwa binadamu.

Uliza chochote kuhusu majini
Brother Kuna mtu siku tulipita sehem usiku tukakutana na mdada mrembo sana kajifunga wrap skirt na top lkn alivotupita mim nlisikia nmezisimka mno na vinyweleo vimechachamaa sana
Hao watu nlikua nao wakasema huyo dada atakua jini nlichokuja kujiuliza ni hiki ina maan majini yana ngozi, na yanafanania kabisa kabisa kama binadamu?

Tukio la pili kuna sehem hapa Mwanza ni mjini kabisa Kuna sehem nlikua naishi ni karibu na ziwa kabisa nyuma ya nyumba Kuna garden hadi kulifikia ziwa ni umbali kidg
Kuna mfanyakazi pale aliokotoka bracelet cha ushanga lkn cha ajabu kila aliekua anamuonyesha analazimisha apewe akampa mdada hivi huyo dada sikumuona kama week tatu akaja kutuelezea hv alienda kanisani akiwa amevaa Ile bracelet akapandisha majini yanasema tu naomba alikotuokota aturudishe huko huko la si hivyo atajuta kila akiombewa majin yanasema hvo ndo kuulizwa akasema Kuna mtu aliokotoka kidude akampa yeye basi zoezi la kukirudisha ikabid wampe yule alokiokota akawa karudisha na mapepo yakaishia hapo

Kitu nachojiuliza ni hiki inakuaje majini yakae kweny kidude tena cha shanga tu na je kwa eneo kama lile ni jini lilikua linapunga upepo au likaamua kujibadilisha kama kile kidude au mambo ya namna hyo yanakua yamelengwa kwa mtu husika?

Maan nakumbuka pia mim nlikua napenda sana kukaa hapo garden usiku nalitazama ziwa lkn nilikua na hisia kua nmekaa na mtu lkn aonekani na kuna siku usiku nmelala ikawa kama nipo ndotoni lkn najielewa kabisa kabisa naona watu kama ishirini wamenizinguka kweny neti wanataka mtoto
Na kuna siku tena nmeamka nkaona vidudu vingi mno kitandani nlivowasha taa hakuna kitu

Nikawa nafanya maombi mara nyingi sana siku nyingine tukiwa kweny maombi kuna vitu naona kabisa na Kuna kipindi nyumbani walikua wakija watu kwa bibi angu kubana nguo Kuna hisia naipata huyo sio mtu mzuri naanza kusali badae namuita bibi namwambia huyo mtu sio mzuri mwambie hizo nguo zake asiziiijie badae tuone atasemaje na kweli bibi akienda kumwambia hvo huyo mtu anasema njia yenyewe nilokuja nayo hata siikumbuki kabisa

Yani mambo ni mengi mno hata ndani wanakujaga dada wa kazi mchawi asubui nkiamka namwambia usiku ulikua unafanya uchawi ndani kwangu anaomba kuondoka siku hyo hyo
Nishajiuliza sana nina nn hadi niwe naona mavitu ya kutisha lkn sielewi
 
mleta mada wewe waambie watu ukweli sehemu yenye majini kibao ni kuanzia Ferry Mikadi pasua beach yote ya malaika nenda mpaka mji mwema shuka Kibugumo Geza muongozo nenda Mbutu rudi Kimbiji mpaka Pemba mnazi huko ndio kwenye vilinge vyenyewe vya majini au ujinini msihangaike kuumiza kichwa kua ni wapi
Noma sana!
 
Back
Top Bottom