Huu hapa ukweli kuhusu majini (eneo ambalo wanapatikana kwa wingi jijini Dar es Salaam)

Huu hapa ukweli kuhusu majini (eneo ambalo wanapatikana kwa wingi jijini Dar es Salaam)

JINSI MAJINI WA UGANGA/UCHAWI WANAVYO SHIRIKIANA NA BINADAMU.


Nimesha sema hapo juu kwamba sio kila jini anajua KILA kitu.

Sio kila jini anaweza kufanya KILA kitu.

Sio kila jini ana maarifa makubwa kuliko KILA.mtu.

Sio kila jini anaweza kufanya KILA kitu KWA KILA mtu.


Sio KILA jini anajua yatakayo tokea siku za usoni. Mfano Mfalme Suleiman alifanya kazi zake KWA kishirikina na majini.

Miongoni mwa walinzi wake walikuwa ni majini.

Mfalme Suleiman alipo fariki, HADI inafika siku ya tatu tangu Mfalme Suleiman afariki bado jini anae mlinda alikuwa hajui kama bwana wake amesha fariki toka enzi za Pontyo wa Pilato.


So inakuwaje kwenye uganga.

Bwana Kiranga Wewe ndo huyo umeenda KWA mganga Mshana Jr unataka kumuua kichawi ndugu DeepPond kea sababu amekuchukulia nyumba ndogo YAKO.

Bwana Mganga atawapa majini wake wa uganga kazi ya kumuua deep pond.

Tatizo ni kwamba majini wa Mshana hawana maarifa ya kuua mtu.

Lakini wanajuana na majini ambao Wana maarifa ya kuua mtu na wapo tayari kuua mtu.

Jini wa uganga wa Mshana, atamwambia Mshana nitakuletea taarifa ya kitu gani cha kufanya ifikapo saa saba usiku.

Jini wa uganga wa Mshana ataenda KWA majini wenzake ambao Wana maarifa ya kuua atawaambia ndugu zangu eeh nisaidieni kufanya kazi ya kumuua mwanadamu.

Hao majini wauaji wataomba majina ya huyo mtu anae takiwa kuuwawa.


Tatizo kwao nao ni moja hawana maarifa ya kupiga ramli na hawazijui details zote kuhusu binadamu wao wanacho jua ni kuua.
Ila na wao anajuana na jini mwenye maarifa ya falakh.


Wata enda KWA jini mwenye maarifa ya falakh.

Kazi ya huyu jini mwenye maarifa ya falakh ni kusoma nyota ya huyo mtu anae takiwa kuuwawa ILI kuangalia ILI operation ya kumuua mtu huyo ifanikiwe inatakiwa ifanyike siku GANI saa ngapi na eneo gani ( ardhini, angani, au kwenye maji)

Pia atatazama kama mtu huyo ana kinga na je kinga hiyo ni ya kijini au ya Mungu. Na kama.ni ya kijini wanatakiwa wafanye kitu GANI ILI kuidhoofisha hiyo kinga au kuua hiyo kinga kabla ya kupeleka shambulizi.

Huyu jini wa ramli huheshimiwa sana na hawa majini wauaji kama anavyo heshima gun supplier na ma armed robbers.


Huyu jini wa falaq akisha fanya intelligence analysis kuhusu mtu husika anatoa intelligence report ambayo itatumiwa na hao majini wauaji kama road map ya kwenda kumuua huyo binadamu husika

( Mara nyingi majini wanapo enda kumshambulia mtu bila kumconsult jini wa falaq huwa wanakuwa defeated na wanapokuwa defeated hurudisha taarifa KWA aliye watuma kwamba wamemshindwa mhusika.. hii HUTOKEA mara nyingi KWA WATU ambao kinga zao hazionekani na macho ya kichawi au macho ya kijini.. hapa hawa majini wataenda kichwa kichwa na mwisho wa siku wanakuwa defeated. The defeat is always not a good one for the djinn most of the time huwa ni kifo..ndio maana majini wakitumwa kumshambulia mtu wakakuta kinga yake ni kali BASI humrudia alie watuma na kumuua/ kufa nae)


SASA BASI huyu jini wa falaq anaweza kutoa report kwamba ili huyu deep pond auwawe lazima shambulizi dhidi yake KIFANYIKE akiwa ndani ya maji.

Na hawa majini walio pewa kazi ya kumuua deep pond wao territory yao ipo nchi kavu. Hawawezi kufanya chochote ndani ya maji

Watarudisha taarifa KWA jini wa uganga wa Mshana kwamba hiyo kazi hawawezi kuifanya wao KWA sababu mhusika anatakiwa auwawe akiwa ndani ya maji na wao hawana nguvu ya kufanya chochote ndani ya maji so wata mtefer jini wa uganga wa Mshana kwa jini muuaji ambae anaishi ndani ya maji.


Jini muuaji wa majini atachukua hiyo kazi lakini tatizo yeye hana uwezo wa kumvuta Deep Pond HADI pwani au majini.

Atatafutwa jini mwingine mwenye uwezo wa kumvuta Deep pond HADI ndani ya maji.

Jini wa falaq KWA sababu anakuwa tayari amemsoma Deep Pond anapenda vitu gani, atatoa ushauri kwamba jini pekee anaeweza kumvuta Deep pond HADI BAHARINI ni jini ashkhi majununi/ jini wa askhi na mapenzi.

Kumbuka hapo jini wa falaq alisha soma nafsi ya deep pond na kubaini kwamba Deep pond anatamani sana penzi la Nifah . Amesha omba mara kibao kutoka na Nifah lakini Nifah anamzingua.

KWA hiyo Jini wa Falaq atashauri kwamba huyu jini wa Mahaba aombe kuingia ndani ya moyo wa Hanifa amuwekee wazo la kutaka kukutana na Deep Pond lakini lazima wakutane Coco Beach.

Jini askhi akiingia ndani ya moyo wa Nifah, Nifah atapata ghafla wazo la Mahaba kwa Deep Pond.

Kwa kuwa nature ya mwanamke sio kutongoza mwanaume na majini hawana uwezo wa kufanya kazi kinyume na nature, Nifah atamtext Deep Pond kwamba ana hamu ya
Kula mihogo ya Coco Beach.

Deep pond hatoamini anacho kiona, KWANZA atanitumia Nifah hela ya nauli na ya kutolea halafu atawasha gari fasta kwenda coco Beach.

Wakifika coco Beach kea furaha ya kukutana na.Nifah, Deep Pond atalewa sana halafu baadae ataomuomba Nifah waende kuogelea.

Kumbuka kule ndani ya bahari kuna jini muuaji ametegwa anamsubiri Deep pond aingie BAHARINi.

Deep pond akiingia BAHARINi huyo jini muuaji wa BAHARINi ata mzamisha deep pond ndani ya bahari na habari utaishia hapo.


KWA hiyo umeona hapo kwenye task moja wamehusika zaidi ya majini watano.



Uliza chochote unacho taka kukijua kuhusu majini.
Kwahiyo hawa majini wanajua tu,bila kupewa kibari na muumbaji(Mungu)
 
Kwahiyo majini wote wanaoshirikiana kutimiza task yao kutia ugonjwa au kuua ni wabaya?
 
Ni mwiko kutaja. Unatakiwa ufanye utafiti mwenyewe KWA kwenda KILA kitaa ya Dar usiku kufanya ulozi. Siku utakayo fika kwenye eneo husika utaona utofauti hata wa hicho ambacho una kifanyia ulozi
Kumbe ni mada nzito ya warozi
 
Hata mimi nimeacha. Watu wajinga sana humu. Badala watulie wajifunze yale wasivyo yajua wao wanaleta ujuaji kwa kuelezea yale ambayo KILA mtu anayajua.


Ukristo unasema majini walikuwa malaika mbinguni wakamuasi Mungu wakiwa na SHETANI Mungu akawafukuza mbinguni kisha akawa rename ( kuwait's devils)

Waislamu wanasema majini waliumbwa na Mungu ili wamuabudu na kwamba wapo majini waliomuasi Mungu na wapo ambao wanamtii Mungu.


Mimi sijaja kuelezea hicho ambacho wakristo na waislamu Wana kifahamu.

Nimekuja kuelezea kile ambacho hawakifahamu.

Ila wao wanataka waendelee kufahamu vile wanafahamu.
majini na malaika ni viumbe tofauti sana
 
Hii ni forum kama ulikua hujui sijamfuata private na ntaendelea kumjibu kama nimevunja sheria nireport kwa moderator
Kiranga is not that intelligent he is just good at cramming and that is what the hidden world wants, PUPPETS of Massive brainwashing system...

Wewe uko huru maana una analyse vitu unavyoona wewe,yeye anategemea mifumo ya logic ambayo watu wengine wali- invert na yeye ana apply.

Kuhusu mleta uzi nadhani analenga commercial na sio kutoa elimu.
 
Uzi mzuri sana,nimepata elimu kubwa ambayo haifundishwi vyuo vikuu.

Lakini kwa bahati mbaya kuna watu wana amini elimu waliyoipata vyuoni ndio sahihi na ya mwisho hawana nia ya kupata elimu mpya.


Hawa wapumbavu ndio wanabisha bisha kwa vilugha vya vya kingereza
 
Ukisoma elimu ya wanyama ambayo Mfalme Suleiman alijifunza na kuimaster utaweza kujua maana za sauti zinazo tolewa na wanyama mbalimbali.


Sauti za wanyama humaanisha vitu tofauti KWA nyakati tofauti.

Sauti ya mnyama inaweza kuashiria kukuzomea, KWA mfano mwanaume umetoka kumlawiti mwanamke au kufanya tendo lolote baya kama vile kuua au chochote kibaya ambacho unadhani watu wengine hawaja fahamu halafu wakati upo njiani unakutana na ngombe Wana piga moo hiyo inaweza kuwa ni kukuzomea au kukusuta...

Sauti ya wanyama kwako inaweza kuashiria kukutahadharisha na hatari iliyopo mbele YAKO.

Inaweza kuwa kukupongeza, kukusifu, kukulaani, kukushukuru etc.

Na hapo anae kuzomea sio mnyama ila ni nature/universe ndo inakuzomea kupitia huyo mnyama.

So KWA mimi kujua sauti ya huyo paka ina maanisha nini mpaka niwe nimemsikia mwenyewe akilia.


Kingine kuhusu paka, tofauti na watu wengi wanavyo mchukulia, paka ni kiumbe mwenye faida nyingi sana kea binadamu.


Moja Kati ya faida za paka ni pamoja na kusaidia ku absorbed all the negative energy that is sent to you by witches and evil spirits.

Watu wanao fuga paka majumbani na kwenye mabar WANAJUA kuhusu hii siri.

Ukiona paka wako anataka kuja kulala karibu na wewe BASI jua kuna kitu kibaya ameona kinaelekezwa kwako, yeye anazo nguvu za asili kukipooza makali yake au kuki block kisije kwako.


Kama wewe haufugi paka halafu siku hiyo paka akaja nyumbani kwako BASI jua paka huyo amekuja kwako kwa sababu una muhitaji.

The universe imeona kile ambacho hujakiona ndio maana imeamua kukusaidia kupitia paka huyo.

Ukiwa una tembea halafu paka akakatisha mbele yako watu wengi hufikiri ni nuksi lakini hii ina maana kubwa sana yenye faida kubwa sana kwako.

Kutafsiri maana ya paka kukatisha mbele yako kunategemeana na rangi ya paka, muda alio latisha mbele YAKO, etc
Tuanzishie uzi wa mada hii endapo kama unaifahamu vyema mkuu ni mada nzuri kweli
 
VIJINI VINAKUWA VINGI MAHALA FULANI KUTOKANA NA WENYEJI WA ENEO HUSIKA KUWA WASHIRIKINA KUPITILIZA AU WALIOKUA WAKAZI WA HAPO AU ENEO HUSIKA WALIKUWA WASHIRIKINA KUPITILIZA TUKUMBUKE BINADAMU HUWEZA KUTENGENEZA JINN, KWA MITISHAMBA AU NUMERICAL CALCULATIONS, NAKATAA YA KWAMBA WAPO MAHALI KWA SABABU YA UKARIBU WAO NA KUZIMU, WENYEJI WASHIRIKINA NDIO CHANZO CHA VIUMBE HAO KUJAZANA PAHALA FULANI.
 
First off, this is a logical non sequitur.

But to answer your question.

Among other things.

Nime patent software for simple, low cost, low energy, container based for NAS served electronic library consolidation system for offline school / document management systems.
Saafi...
 
Afrika ushirikina tu na imani za ajabuajabu ndio zinatusumbua....mleta Uzi kaukimbia sababu hataki kuwa challenged hehehehe.....
 
Afrika ushirikina tu na imani za ajabuajabu ndio zinatusumbua....mleta Uzi kaukimbia sababu hataki kuwa challenged hehehehe.....
Hatuwezi kutoboa kwa mawazo haya ya kuendeleza ushirikina na uongouongo.
 
Sijaona haja kubwa ya kumchallenge mwenye uzi, kwasababu hii ni kama elimu tu kama elimu zingine kama unataka kufahamu soma kwa umakini,
Nitakushangaa wewe unaeamini mambo ya Mungu alafu haya mambo ya majini unayaponda bora Kiranga ambae haamini pande zote mbili.
Mtoa mada endelea kutupa elimu tupo sisi ambao yakiletwa mambo ya mungu tunasoma, kijini, mambo ya sayansi walete tunapenda kusoma kila kitu ambacho mtu ana utayari wa kutushirikisha tufahamu,
Mkuu LIKUD endelea kutupa madini.
 
LIKUD una lako jambo ndgu sio bure.

Malengo yako ya kuanzisha huu uzi yalikua ni yapi??
Challenges chache ndo zimekufanya usise au kuna mahali unatoa wamesitisha utoaji wa hii makala.
 
Na kuna binadam ambao ukiwaangalia unaona ni binadam timamu lakini ni jini. Ninao mfano halisi na ipo namna akizinduliwa binadam huyu unadhihurisha kuwa ni jini kweli. Kuna mganga handeni alituonesha maajabu ya binadam ambaye alipewa hadi uenyekiti wa kijiji lakini kumbe ni jini
 
Sio Zanzibar tu. Tanga, Dar, Lindi, Mtwara na India.

But mkuu nimesema kwa kutumia the latest human technology chombo kutoka duniani kwenda Venus kitatumia siku 109.

Hiyo short-cut way imekuwa powered na hiyo technology of the djinns kama nilivyo sema hapo awali kwamba hawa majini ni viumbe ambao wapo more advanced in technology kuliko binadamu so KWA kutumia technology yao umbali kutoka duniani HADI venus ni dakika saba.

Hiyo portal inayo connect hiyo short cut Kati ya Venus and earth ipo BAHARINi upande wa bahari ya Hindi.

Baadae nitaelezea na spiritual relevance of the bermuda triangle.

Nitaelezea kuhusu mlima kilimanjaro na Mlima Himalaya ( Everest)

Nitatoa sababu kwanini katika elimu ya kijini Mlima Kilimanjaro ndio inaitwa Mlima mrefu kushinda milima yote duniani

Nitaelezea Mlima Kilimanjaro una wakilisha kitu GANI hapa duniani.

Nitaelezea milima ina maanisha kitu GANI katika ulimwengu wa majini.

Nitaeleza kuhusu uwepo wa Mlima ndani ya ziwa victoria ( ambao umefunikwa na maji) na wenye upanda wa kutoka eneo la kisiwa cha ukara HADI Uganda na kwanini ndege hazipiti karibu na usawa wa eneo hilo na endapo zitapita kitu GANI kitatokea.
Mkuu kama una mambo mengi namna hiyo, kwanini unatoa pages kwa kusua sua?

Si unaweza ukachuka mwaka mzima unaadikaga tu hadi watu wakasahau walipoanzia?

Jitahidi kuchapusha mkono basi.
 
Back
Top Bottom