Huu Hapa ukweli kuhusu Utata wa selemani aliyeimbwa na Mbosso..

Br ,leta lipa no hapa upate 10 ,bonge la fasihi hongera
 
Tatizo ni kuwa Iddi wana walimla kiboga kwa mujibu wa tetesi za kitaani.mabaharia walimpima oil [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wengi wanamfananisha Selemani na Mtoto lddi,...Mnakosea sana....

Historia kamili hii hapa,

Miaka ya themanini Kalubandika wa bendi ya Orchestra Maquis Original,
Aliingia katika mahusiano na binti mmoja hivi jina limenitoka,baada ya kumpa ujauzito huyu binti, Kalubandika aliukataa.

Bahati nzuri yule binti alipata mchumba na kuolewa hivyo hivyo na ujauzito wake,
Mwanaume aliyemuoa huyu binti anaitwa Hamidu,

Mtoto alipozaliwa wakampa jina la lddi, katika wimbo wa Mtoto lddi Nature anasema, Iddi ni mtoto wa kwanza wa mzee Hamidu,

Lakini ukweli Hamidu ni baba mlezi wa lddi,
Baba halisi wa ldi ni Kalubandika, na ndiyo maana Iddi alikuwa na tabia za Kalubandika,
Maisha yalikwenda kasi sana, Iddi wa Juma Nature baada ya kukua, alimuoa kitemi mtoto wa Mama Kumbena wa Banana
Zorro,(Kama mnamkumbuka yule we mama kumbena)

Wakazaa watoto watatu wote wa Kiume,
Wa kwanza ni Side Mnyamwezi wa Mh Temba,
Wa pili ni Lover boy wa Chege
Wa tatu ni Yahaya wa Lady Jyadee

Katika hawa watoto watatu wa Mtoto lddi wa Juma Nature, Ndipo kupitia mtoto wake Lover boy ndo tunapompata selemani..

Sasa hapo kunapatikana kizazi cha Selemani wa Mboso,

Selemani ni mtoto wa Lover boy wa chege

Kwahiyo watu kumfananisha Selemani na Mtoto ldi,

Ni kumkosea adabu mtoto Idi, huyu ni mjukuu wake

anachokifanya sasa yeye alishakifanya miaka hiyo,

Nadhani nimeshamaliza utata
Hawa hawana undugu na baba Salehe kweli?
 
👍👏🙏💐🎁🎖️🏆🆒
 
Back
Top Bottom