Huu Hapa Ukweli Mchungu Kuhusiana na Maisha Unaopaswa kuujua mapema Kabla Hata ya kufikisha miaka 18

Huu Hapa Ukweli Mchungu Kuhusiana na Maisha Unaopaswa kuujua mapema Kabla Hata ya kufikisha miaka 18

The redemeer

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2025
Posts
4,778
Reaction score
8,232
Ukweli ni Kwamba MAISHA NI KUPANGA

NA KUPANGA NI KUCHAGUA

Na cha kusikitisha ni kwamba…

KILA SIKU UNACHAGUA — hata bila kujua.

Kila jambo unalofanya ni uchaguzi:

– Unapochagua kulala badala ya kusoma...

– Unapochagua kula bata badala ya kuwekeza...

– Unapochagua kulalamika badala ya kupanga...

HUO WOTE NI UCHAGUZI.

Umaskini ni MATOKEO ya maamuzi yasiyo sahihi.

Utajiri ni ZAWADI ya kuchagua kwa makini.

Hakuna mtu anayeamka maskini ghafla.

Ni MATOKEO ya kuchagua KIVIVU!

KUFANIKIWA au KUFELI sio bahati... NI UCHAGUZI.

Unaweza kuchagua:

Kila siku unapoamka, una nafasi mpya ya kuchagua:

Kuendelea kulalamika au kuchukua hatua.

Kuwa na hofu au kujiamini.

Kutazama wengine wakifanikiwa au kujifunza ili nawe ufanikiwe.

Kulala ukiwa na ndoto au kuamka kuzitimiza.

kujifunza kuwekeza au kuendelea kula chipsi kila siku.

kutumia muda wako kujenga ndoto zako au kuwasaidia wengine kujenga za kwao.

kuamka saa 5 asubuhi au kuamka saa 11 kwa kisingizio cha “usingizi mzuri.”

UMASKINI vs UTAJIRI ni MATOKEO ya UCHAGUZI WAKO:

Umaskini sio laana...

Ni matokeo ya kuchagua:

Kutojifunza.

Kutochukua hatua.

Kuogopa kuanza.

Kucheka badala ya kupanga.

Utajiri nao si uchawi...

Ni matokeo ya kuchagua:

Kuweka malengo.

Kujiendeleza kila siku.

Kufanya maamuzi magumu.

Kuamua kutobaki pale ulipo leo.

Na...

Kila siku una kura 1

Kuchagua Kujenga ndoto zako au kujenga ndoto za wengine

Kuamka saa 5 au kulala mpaka saa 11 ukiita "usingizi mtamu"

Na kura hiyo ni CHAGUO LAKO.

“ Maisha yako ya kesho si miujiza – ni matokeo ya maamuzi Uchaguzi unaofanya leo.”

Choose wisely Ili usijutie mbeleni.

Na By The Way Kama Unapenda Kujifunza Zaidi Masuala ya personal development

Basi Gusa Link Kujiunga na group la Masuala ya personal development

Financial Market

Your's

Habakuki Hussen

Hasta la Vista!
 
Sasa hapo kilichokuwa hakijulikani ni kipi mpaka utupigie kelele kwamba kimefichuka ?
 
Back
Top Bottom