Huu hapa umri sahihi wa Shilole

Hii ilitakiwa umtag Ubeche mme wake ili ajue jinsi ya kuishi na mama watoto wake!! Afu kitu kingine nasikia ana watoto wawili ila me huwa sijawahi kuwaona popote wakiwa na mama yao au huwa sio kweli mkuu hebu nijuze hili.
 
'A GENTLEMAN NEVER TALKS ABOUT LADY'S AGE'
 
Yuko sawa, Mwanamke hapendi kuulizwa umri!
"If you want to annoy a woman ask her age"
 
Mkuu bwana Polepole na ndg Baharia kama waliwahi kupanga kwenu naomba utuletee umri wao elekezi,maana sintofaham zimekuwa nyingine.
Hahaaaaa. Umri wa polepole nao ni tata, ila ipo siku watajulikana.
 
Hayo ya shilole sidhan kama yanakuhusu, ukizingatia ata kukujua hakujui, Pambana na hali yko, ya shilole muachie shilole.
Hahahaaa! Utakuwa na wewe mficha umri tu. Kibabuuu cha miaka 50 ila ndo wajipaka piko ufanane na sisi.
 
Hii ilitakiwa umtag Ubeche mme wake ili ajue jinsi ya kuishi na mama watoto wake!! Afu kitu kingine nasikia ana watoto wawili ila me huwa sijawahi kuwaona popote wakiwa na mama yao au huwa sio kweli mkuu hebu nijuze hili.
Ntajitahidi niwalete humu, by the way ni mabinti wakubwa kwa sasa..
 
Shishi baby bado mtoto bana kimjini mjiji kwanza ujana mwisho 65... Nyie hamuoni lile Babu Jinga bado lipo kwenye umoja wa vijana wa kile chama cha kizee ilihali ana 60's yrs
Sijui sasa maana sisi tupo Igunga tunatumia age category ya serikali
 
Mkuu bwana Polepole na ndg Baharia kama waliwahi kupanga kwenu naomba utuletee umri wao elekezi,maana sintofaham zimekuwa nyingine.
Polepole Mwaka 2000 alikuwa form iv Pale azania secondary,jaribu kukadilia umri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…