tangoMwitu
Member
- Feb 23, 2017
- 73
- 72
kwanza jiulize hivi kwani mtu anaogopa nini hadi kushindwa kutaja umri wake wakati umri hakuna mtu anayeweza kuuiba hata ukiwa mkubwa kiasi gani na kama ukiwa mdogo hakuna anayeweza kukuongezea pia hata ukifa unabaki unasoma tu.Hivi huwa najiuliza kuwa umri wa mtu huwa unamkera nini mtu mwingine kiasi cha kuacha mambo yake na kuanza kuulizia......!!!?
NsamboHahahaaa kawaida tu mkuu. Karibu Igunga!
Bado mtu anapata faida gani kwa kuujua umri wa mtu ambaye wala hamjui....??!!kwanza jiulize hivi kwani mtu anaogopa nini hadi kushindwa kutaja umri wake wakati umri hakuna mtu anayeweza kuuiba hata ukiwa mkubwa kiasi gani na kama ukiwa mdogo hakuna anayeweza kukuongezea pia hata ukifa unabaki unasoma tu.
Ninayo.Una kazi hapa mjini mkuu?
Polepole nimesoma nae na ni age mate wangu ana 38
Nimependa sana uandishi wako. Flow nzuri kabisa na inaeleweka, kweli Shilole umri umekwenda. Ushauri, tunamuomba aache kujichetua. Hatutaki tena kuona matiti yake, amwonyeshe Uchebe tu.
Pili, ninamsihi Bw. Nuhu Mziwanda, aachane na ndoa ya wenzake, najua anaumia akifikiria usanifu wa kuchezea mfinyanzi enzi zile, ibaki story tu kwake.
Nuhu amenisikitisha eti kwa kujibu mapigo kwa kuopoa demu mwenye chura kubwa kuliko Shishi Baby. Aache kumuharibu huyo bint kutokana na ujuzi mbaya alioupata kwa mpenzi wake wa zamani.
Nuhu kubali tu, mbona ulipokuwa fundi udongo Timbulo alikaa kimya? Hakukupigia kelele kwa sababu Timbulo yeye ni fundi bomba, ujenzi hawezi na alikimbia kushindwa kuchezea udongo.
Tuvumiliane tu.
Leo katika pitapita zangu nikaona nijaribu kueleza kidogo juu ya umri wa dada yangu wa Igunga Zuwena au maarufu kama Shilole.
Nimemkumbuka kwa mambo mawili; Mosi kama mtu ambaye aliwahi kuwa mpangajj wetu pale Igunga akiwa ameolewa mwaka 2000 na 2001. Lakini pili, namna ambavyo imekuwa ni vigumu kwake kusema ukweli juu ya umri wake halisi. Haya mambo mawili ndo yananifanya nimkumbuke.
Bila shaka wale wenyeji wa igunga mjini tutakuwa tunamkumbuka huyu binti si kwa umaarufu wa sasa bali umaarufu wa mme wake wa zaman ambae ni mzazi mwenzie pale Igunga bw. Makala.
Nakumbuka nikiwa nasoma kidato cha kwanza pale Igunga day (2001) Makala na Mkewe Shilole walikuwa wapangaji wetu. Mie nikiwa mtoto mdogo na Shilole akiwa pale kwetu nilikuwa namuona si rika langu kabsa.
Wakati anafanya biashara ya ndizi pale stand tulikuwa na tabia ya kuingia chumbani kwake na kuiba ndizi zake. Na siku moja alitupa Kiminyo baada ya kuona mzigo alioleta umepungua (nifupishe).
katika watu ambao huwa umri wao kila siku ni bongo movie na bongo flaver
kila siku wema ana miaka 26
Leo hii mimi nmekuwa mtu mzima (miaka 31) lkn pia nikimuangalia mme wake (Makala) nae tayari umri umeenda sana (makadirio ni miaka 38-39).
Pamoja na kwamba shilole hasemi umri wake sahihi na imekuwa ni mtihani mkubwa sana kwake hasa pale anapoulizwa historia yake, basi naweza kusema kwamba Shilole ni Mama wa Makamo. Ni Rika moja na dada angu aliyezaliwa 1981 na wamesoma darasa moja.
Hivyo basi makadirio ya chini ya umri wa shilole ni Miaka 36.
Lakini nampongeza kwa mfanikio aliyonayo mpk sasa lkn nimshauri tu asiteseke kuficha umri, hii itamsaidia pia kuwa huru zaidi.
Asanteni
kingunge wa JF
Haya bnKuhesabu miaka mingi mwisho chalinze
'KINGUNGE'[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Shilole kwa umri huo bado analipa sana, mbona kuna kingunge Zari the boss lady kagonga 47 na Mond 28 ana enjoy tu?
...kujibebisha tabia za mademu!dah kumbe nilisoma na wazee bwana, dah kumbe zama zile nilikuwa dogo tu... 2000 O'level AZA BOY... Ila toka zama zile kajamaa kalikuwa kakuda kuda sana..
Nijue umri wa shilole so what?wabong bhn emb kuwez serious na mamb yenu bhnLeo katika pitapita zangu nikaona nijaribu kueleza kidogo juu ya umri wa dada yangu wa Igunga Zuwena au maarufu kama Shilole.
Nimemkumbuka kwa mambo mawili; Mosi kama mtu ambaye aliwahi kuwa mpangajj wetu pale Igunga akiwa ameolewa mwaka 2000 na 2001. Lakini pili, namna ambavyo imekuwa ni vigumu kwake kusema ukweli juu ya umri wake halisi. Haya mambo mawili ndo yananifanya nimkumbuke.
Bila shaka wale wenyeji wa igunga mjini tutakuwa tunamkumbuka huyu binti si kwa umaarufu wa sasa bali umaarufu wa mme wake wa zaman ambae ni mzazi mwenzie pale Igunga bw. Makala.
Nakumbuka nikiwa nasoma kidato cha kwanza pale Igunga day (2001) Makala na Mkewe Shilole walikuwa wapangaji wetu. Mie nikiwa mtoto mdogo na Shilole akiwa pale kwetu nilikuwa namuona si rika langu kabsa.
Wakati anafanya biashara ya ndizi pale stand tulikuwa na tabia ya kuingia chumbani kwake na kuiba ndizi zake. Na siku moja alitupa Kiminyo baada ya kuona mzigo alioleta umepungua (nifupishe).
Leo hii mimi nmekuwa mtu mzima (miaka 31) lkn pia nikimuangalia mme wake (Makala) nae tayari umri umeenda sana (makadirio ni miaka 38-39).
Pamoja na kwamba shilole hasemi umri wake sahihi na imekuwa ni mtihani mkubwa sana kwake hasa pale anapoulizwa historia yake, basi naweza kusema kwamba Shilole ni Mama wa Makamo. Ni Rika moja na dada angu aliyezaliwa 1981 na wamesoma darasa moja.
Hivyo basi makadirio ya chini ya umri wa shilole ni Miaka 36.
Lakini nampongeza kwa mfanikio aliyonayo mpk sasa lkn nimshauri tu asiteseke kuficha umri, hii itamsaidia pia kuwa huru zaidi.
Asanteni
kingunge wa JF
...kujibebisha tabia za mademu!
..wewe ni choko???
...wewe choko tu!Ni vizuri umeiweka wazi tabia yako, ila fahamu tu si kila mtu ni mzibua mifereji...