Nimependa sana uandishi wako. Flow nzuri kabisa na inaeleweka, kweli Shilole umri umekwenda. Ushauri, tunamuomba aache kujichetua. Hatutaki tena kuona matiti yake, amwonyeshe Uchebe tu.
Pili, ninamsihi Bw. Nuhu Mziwanda, aachane na ndoa ya wenzake, najua anaumia akifikiria usanifu wa kuchezea mfinyanzi enzi zile, ibaki story tu kwake.
Nuhu amenisikitisha eti kwa kujibu mapigo kwa kuopoa demu mwenye chura kubwa kuliko Shishi Baby. Aache kumuharibu huyo bint kutokana na ujuzi mbaya alioupata kwa mpenzi wake wa zamani.
Nuhu kubali tu, mbona ulipokuwa fundi udongo Timbulo alikaa kimya? Hakukupigia kelele kwa sababu Timbulo yeye ni fundi bomba, ujenzi hawezi na alikimbia kushindwa kuchezea udongo.
Tuvumiliane tu.