THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,950
- 13,527
Friends and Our Enemies.
Naomba kunukuu; "Nchi hii tunajua kuna genge lipo linaongoza hii nchi, genge hilo lipo halifanyi kazi, halina shamba, halipandi wala halivuni, genge hilo ndilo linamuamrisha Rais hiki fanya, hiki usifanye, hilo genge liache mara moja." Mwisho wa kunuu, na hotuba iliendelea.
Hizo ndizo baadhi ya kauli za Maaskofu dhidi ya Rais wa nchi, na kauli hiyo aliitoa Askofu Mwamakula kwenye kongamano lake na CHADEMA wakiwa na Maaskofu wenzake kadhaa.
Hakuna kiongozi hata mmoja kutoka huko Parokiani alieona ubaya wa kauli kama hii na kukemea wala kuilaani.
Tunauliza, kwanini wanapenda kumdhihaki na kumkejeli kiongozi wa nchi kumweka majaribuni?
Vyombo vya dola vimekaa kimya inawezekana hawajaona matusi kama haya ya kwamba Rais wa nchi anaongozwa na genge? Wanataka kumaamisha nini, wakiambiwa waseme au wawataje hao watu, watakuwa tayari katika hilo?
Uhuru wa kuongea waliopewa wanasiasa na wananchi, baadhi yao wanataka kutumia vibaya kulivunja Taifa hili vipande vipande. Hali hii haivumiliki na tunawakemea vikali sana Maaskofu.
Taifa hili ni letu sote, tuilinde amani na tuheshimu mamlaka zinazoongoza Taifa letu.