Huu mchanganyiko wa kuboost kinga dhidi ya UVIKO-19 kuna una kazi nyingine kwa wenye ndoa

Huu mchanganyiko wa kuboost kinga dhidi ya UVIKO-19 kuna una kazi nyingine kwa wenye ndoa

2019

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2018
Posts
3,130
Reaction score
4,735
Juzi koo lilikereketa sana, kama kawaida kuchukua tahadhari nikasema wacha nikachanganye mavitu nijidunge pema.
Nikaoda kwa mke gengeni alete

1. Malimao
2. Tangawizi
3. Kitunguu saumu
4. Pilipili mbuzi

Nikaviandaa nikablend vyote, nikachukua maji ya moto nikatia chumvi kidogo nikazimua ule mchanganyiko. Baada ya kupoa kidogo nikanywa. Asee kama huna roh ngumu hunywi baada ya kunywa sasa. Jana yake nilitoka kugegeda ila matokea baada ya kuchwa usiku nalala nilisikia ugwadu kana kwamba nina mwez sijagegeda. Asumani anasimama kwa hasira kawa kama chuma.

Hali hii si ya kawaida kwangu nikajua tu itakuwa ule mchanganyiko,kwa sababu ngozi ninayo 24hrs nikajipigia zangu mpaka asumani akapoa.

Jaribuni hii kwa wale wenye matatizo ya kusimamisha uume, inasisimua misuli sana, bila shaka hii haitakuwa na madhara sababu ni vitu vya kiasili vimetumika.
 
Subiri watakuja muda si mrefu.
😀😀
 
Pamoja na kutupa mrejesho ila hiyo ni TETESI toka kwako, maana wengi wameshatumia huko nyuma na hakuna aliyewahi kupata msisimko like wako.

Ukitaka kujua hiyo mixer haina uhusiano na lililotokea kwako baada ya wiki/mwezi tumia tena, then njoo uandike upya.
 
Nakubali ni tetesi sababu mimi sio mtaalamu wala sikufanyia maabara
 
Tangawizi Kama uliweka nyingi, ndo kazi yake iyo
 
Back
Top Bottom