COMORIENNE
JF-Expert Member
- Dec 25, 2022
- 923
- 1,054
ushamba on work
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaume halisi tunachepuka ila tunahakikisha wake zetu hawajui.
Na sikuzote kauli mbiu yetu ni family comes first mchepuko lolote limkute tu
Nimeona niweke bango kabisa na nikimaliza kuandika huu uzi namtumia link mke wangu kipenzi asome na ikiwezekana a-screenshot ili aache kunisumbua akikuta ninachat kwa furaha na huyu mchepuko (second lady).
Iko hivi, nampenda sana mke wangu na anajua hilo ila ana yeye ana chembechembe za ufeminist na hadi hapa nmeshamnyoosha sana na ilibaki kidogo tu nimlipie ada akakae na hawa waalimu wao, makungwi akafundwe upya. Kuna muda anakaa vizuri kuna muda dish linayumba.
Ndipo nikaja kupata huyu mtoto wa kidigo, mtoto anapika chai unatamani unywe chupa nzima. Mtoto sex hata kama hujamuomba anajua namna ya kukuchokoza usimamishe angalau upige kimoja sababu sex inaimarisha uanaume na kuongeza confidence (ukiona mwanaume anachekacheka ujue aidha ni mnyetukaji au hapati sex ya kutosha).
Mtoto sura ya kawaida black tu lkn kwenye giza anavyolegea ni kama uji.
Mtoto ukiwa unachat au unaongea nae unajihisi kweli wewe ni mwanaume mwamba dunia nzima sababu anakunyenyekea, hana maneno ya kipuuzi, anajua kuomba samahani, ukiwa bize anajua anatulia hakusumbui.
Hv mtoto kama huyo mie ningekua Bakhresa ningeshindwa vp kumpa kiwanda chote cha ukwaju akimiliki yeye?
Sasa mke wangu huu mchepuko siuachi, kama utaondoka ww ondoka tu. Mm hapa ndo nimefika.
Na hapa mtoto mzuri ananiona nina type yupo anamassage mabega ila nmwambia asisome ninachoandika so kajifunga kitambaa machoni anasubiria nimalize nipige cha nne usiku huu.
Nina kamchepuko nimekazid 25yrs ila nimekazimika mpaka nataman nimubie wifeNimeona niweke bango kabisa na nikimaliza kuandika huu uzi namtumia link mke wangu kipenzi asome na ikiwezekana a-screenshot ili aache kunisumbua akikuta ninachat kwa furaha na huyu mchepuko (second lady).