Huu mchepuko siuachi hata mke wangu afanye nini

Wadigo kuachika ni swala la aibu so wanajitahidi kumlinda mume
 
Wanaume halisi tunachepuka ila tunahakikisha wake zetu hawajui.

Na sikuzote kauli mbiu yetu ni family comes first mchepuko lolote limkute tu

Hii kauli (sentensi ya mwisho) inawapa nguvu/kuwatia moyo wanawake walioko kwenye ndoa huku wanafuta machozi na kupenga kamasi.
 

Nina kamchepuko nimekazid 25yrs ila nimekazimika mpaka nataman nimubie wife
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…