ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
Mikata si ipo, labda ashindwe kuweka terms zta kazo msaidiaDiamond anajitengenezea upinzani mwenyewe kwa hulka za kibongo hao mdogo wakija kupata majina kidogo wanaweza kuwa mwiba mchungu kwa mond. Kuna mifano mingi bongo na nje...dawa wapewe contract ya maisha ni sawa na mtoto na mzazi
Ok, mimi Ali Kiba nimeshawaelewa na kuanzia sasa sitaki tena mashindano na Wcb!!
Ha ha ha ha haOk, mimi Ali Kiba nimeshawaelewa na kuanzia sasa sitaki tena mashindano na Wcb!!
Wanaume wa Daa katika ubora wao,kusifia wanaume wenzao
Dawa ni kuwapa mikataba mirefu, hata miaka 7 hivi, ili hata wakina kumtibua huko mbele wawe wamemnufaishaDiamond anajitengenezea upinzani mwenyewe kwa hulka za kibongo hao mdogo wakija kupata majina kidogo wanaweza kuwa mwiba mchungu kwa mond. Kuna mifano mingi bongo na nje...dawa wapewe contract ya maisha ni sawa na mtoto na mzazi
WCB are running this showbiz.... Ali Kiba alikuja na mikataba yake 17 sijui mara Wema akaja na uzinduzi wa application yake... WCB kuendeleza ubepari kwenye industry wakaja na kiki ya Harmonize na hakuna anayejua mikataba ya Kiba mingine ni ipi zaid ya Sonny pia uzinduzi wa Wema application yake haukuwa habari... Track ya Natafuta Kiki ni pigo jingine kwa Aje imetumika saikolojia ya nguvu kuteka makundi yote na sasa ni heat japo haikuwa kwenye mipango ya kutolewa.. Anakuja Harmonize na mnaija then atakuja kutambulishwa msanii mpya waliyegundua ni hela iliyolala sasa wanaitumia kisha atakuja msanii mwingine wa kurap mzee wa kubeba kijiji kwenye shows kisha atamaliza CEO mwenyewe ambaye sasa anamalizia project inayokuja... Dah baada ya mwezi wa ramadhan ni mwendo wa WCB mpaka tunamaliza mwaka huu na kuanza mwingine.. Wcb baby!
Unachokisema ni kweli na mimi nilishaweka uzi humu wa kumtahadharisha DIAMOND (WCB) juu ya hawa madogo (uzi wangu uliunganishwa na li uzi gani sijui lile) wanaoenda kwa wingi WCB, wengi wao nawaona ni kama wanatafuta watoke tu lakini kiakili wako na yao kichwani.Haswa huyu RICH MAVOKO SINA IMANI NAYE LABDA WAWEKE MIKATABA YA MIAKA MINGI MBELE YA WANASHERIA.Diamond anajitengenezea upinzani mwenyewe kwa hulka za kibongo hao mdogo wakija kupata majina kidogo wanaweza kuwa mwiba mchungu kwa mond. Kuna mifano mingi bongo na nje...dawa wapewe contract ya maisha ni sawa na mtoto na mzazi