Huu mchezo hauhitaji hasira

Huu mchezo hauhitaji hasira

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2014
Posts
6,170
Reaction score
7,665
Nafurahi sanaa kuona wale watu ambao ni wageni kwenye Music wanafanikiwaa!! Ray na Harmonize kwa show wanazopiga sahizi hakika hawatamsahau Diamond,airtime wanayo ipata sahizi hakika hawato msahau Diamond,na hii ndo hazina kubwa aliyo Fanya Diamond hata kama leo na kesho atafulia au atachuja kimziki ana vitu vya kujivunia
16e76bcf88f15d17c3a55db83c4191b3.jpg
 
Ha haaa.....nasubiri yosso Wa alikibakuli....

Daimond kama van ghaal kazi kukuza vijana tuu

Harmonize (martial) Raymond(rashfod)
 
naZani itakuwa habari ya town...harmo namuelewa sn km mondi anavomuelewa huyu kijana!
na harmonize ndo kichwa ambacho kinaaminika sana na mondi mwnyw pale WCB,miongoni mwa makinda yake hyu ndo namba moja wake!gooo harmonize one step ahead everyday.
 
naingojea hiyo collabo ya Harmonize Vs Koredebello. Nione itakuwaje
 
WCB are running this showbiz.... Ali Kiba alikuja na mikataba yake 17 sijui mara Wema akaja na uzinduzi wa application yake... WCB kuendeleza ubepari kwenye industry wakaja na kiki ya Harmonize na hakuna anayejua mikataba ya Kiba mingine ni ipi zaid ya Sonny pia uzinduzi wa Wema application yake haukuwa habari... Track ya Natafuta Kiki ni pigo jingine kwa Aje imetumika saikolojia ya nguvu kuteka makundi yote na sasa ni heat japo haikuwa kwenye mipango ya kutolewa.. Anakuja Harmonize na mnaija then atakuja kutambulishwa msanii mpya waliyegundua ni hela iliyolala sasa wanaitumia kisha atakuja msanii mwingine wa kurap mzee wa kubeba kijiji kwenye shows kisha atamaliza CEO mwenyewe ambaye sasa anamalizia project inayokuja... Dah baada ya mwezi wa ramadhan ni mwendo wa WCB mpaka tunamaliza mwaka huu na kuanza mwingine.. Wcb baby!
 
Wakati DIAMOND anawekeza kwa pesa yake mwenyewe akizifuata kanuni zake, yule anategemea makubwa kwa uwekezaji wa wengine kwake. Ngoja tuangalie muvi inavyoendelea, time will tell.
 
Diamond anajitengenezea upinzani mwenyewe kwa hulka za kibongo hao mdogo wakija kupata majina kidogo wanaweza kuwa mwiba mchungu kwa mond. Kuna mifano mingi bongo na nje...dawa wapewe contract ya maisha ni sawa na mtoto na mzazi
 
Mikata si ipo, labda ashindwe kuweka terms zta kazo msaidia

Kwakuwa madogo wakitoka na yeye ana kula advantage apo
 
Wanaume wa Daa katika ubora wao,kusifia wanaume wenzao
 
Diamond anajitengenezea upinzani mwenyewe kwa hulka za kibongo hao mdogo wakija kupata majina kidogo wanaweza kuwa mwiba mchungu kwa mond. Kuna mifano mingi bongo na nje...dawa wapewe contract ya maisha ni sawa na mtoto na mzazi
Dawa ni kuwapa mikataba mirefu, hata miaka 7 hivi, ili hata wakina kumtibua huko mbele wawe wamemnufaisha
 
Zamani ilikuwa kufanya kolabo na msanii wanje ya Afrika Mashariki ni kitu kigumu sana. Na ndio maana hata ilipotokea wasanii wetu wakafanya kolabo za nje,ilikuwa ni habari kubwa sana. Hata pale walipopiga picha na baadhi tu ya wasanii wakubwa ilikuwa ni habari nyingine mtaani.
Lakini hivi sasa hizi zama zimepotea,sijui ni kukua kwa muziki wetu,ama ni kukua kwa teknolojia ambayo imeturahisishia kukutana na watu wengi kutoka sehemu mbalimbali duniani kwa urahisi,ama sijui ni kitu gani.
Ila tunashukuru sana,kupitia muziki huu,jina la Tanzania linakuwa tofauti na ilivyo kwa michezo mingine.
Kenya wanajulikana sana kwenye mbio ndefu,ila huku kwenye burudani.. Tanzania na Diamond wanakimbiza.
YNWA
 
WCB are running this showbiz.... Ali Kiba alikuja na mikataba yake 17 sijui mara Wema akaja na uzinduzi wa application yake... WCB kuendeleza ubepari kwenye industry wakaja na kiki ya Harmonize na hakuna anayejua mikataba ya Kiba mingine ni ipi zaid ya Sonny pia uzinduzi wa Wema application yake haukuwa habari... Track ya Natafuta Kiki ni pigo jingine kwa Aje imetumika saikolojia ya nguvu kuteka makundi yote na sasa ni heat japo haikuwa kwenye mipango ya kutolewa.. Anakuja Harmonize na mnaija then atakuja kutambulishwa msanii mpya waliyegundua ni hela iliyolala sasa wanaitumia kisha atakuja msanii mwingine wa kurap mzee wa kubeba kijiji kwenye shows kisha atamaliza CEO mwenyewe ambaye sasa anamalizia project inayokuja... Dah baada ya mwezi wa ramadhan ni mwendo wa WCB mpaka tunamaliza mwaka huu na kuanza mwingine.. Wcb baby!

Oyoooooooo
 
Diamond anajitengenezea upinzani mwenyewe kwa hulka za kibongo hao mdogo wakija kupata majina kidogo wanaweza kuwa mwiba mchungu kwa mond. Kuna mifano mingi bongo na nje...dawa wapewe contract ya maisha ni sawa na mtoto na mzazi
Unachokisema ni kweli na mimi nilishaweka uzi humu wa kumtahadharisha DIAMOND (WCB) juu ya hawa madogo (uzi wangu uliunganishwa na li uzi gani sijui lile) wanaoenda kwa wingi WCB, wengi wao nawaona ni kama wanatafuta watoke tu lakini kiakili wako na yao kichwani.Haswa huyu RICH MAVOKO SINA IMANI NAYE LABDA WAWEKE MIKATABA YA MIAKA MINGI MBELE YA WANASHERIA.
 
Back
Top Bottom