ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
Nafurahi sanaa kuona wale watu ambao ni wageni kwenye Music wanafanikiwaa!! Ray na Harmonize kwa show wanazopiga sahizi hakika hawatamsahau Diamond,airtime wanayo ipata sahizi hakika hawato msahau Diamond,na hii ndo hazina kubwa aliyo Fanya Diamond hata kama leo na kesho atafulia au atachuja kimziki ana vitu vya kujivunia