Huu mchezo wa kula nyama mwisho ameuanzisha nani kwani?

Hii ni kama kutengeneza mwisho mzuri

Mfano , wewe mwanafunzi unasoma ILI baadae uwe pailot, unaanza kujiona mbele ukiwa pailot.
Sasa kama unajiona mbele lazima changamoto zozote utazokutana nazo utapambana ili ufike mwisho mzuri, yaani uwe pailoti

Sasa kwa ishu ya kula nyama mwishoni, hii itamfanya mlaji wa chakula amalize chakula kwa haraka ili afikie ile nyama .
Ndo maana asilimia kubwa wanaokula nyama mwishoni lazima wamalize chakula.

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
ni kweli huwa wanapiga hesabu na ya nyama lazima iliwe yote
 
Aisee kama ni kuku au kitimoto, Mimi ni tonge nyama tonge nyama[emoji16][emoji16]. Lbd iwe nyama ya ng'ombe ndo nitakula mwishoni kwa sbb siipendi.
 
Wewe utakuwa unakula nyama za mawazo,mimi huwa nashangaa sana watu wanaokula nyama mwisho,utaratibu wangu ni tonge nyama mpaka chakula kiishe,kama umeweza kula chakula chote bila nyama manake unaweza kuishi kwa mchuzi tu.
Hata nikipika ndizi na utumbo ninataka nikila ndizi nikutane na utumbo.
 
Back
Top Bottom