Huu mchezo wa kuzabana makofi na bongo upo?

Huu mchezo wa kuzabana makofi na bongo upo?

jangoma

Member
Joined
Sep 24, 2023
Posts
64
Reaction score
216
Aisee huu mchezo sio poa yani unazabwa kofi mpk unaskia marue marue. Kibongo bongo mechi zake zinachezewa wapi?
images.jpeg
 
Michezo ya wazungu bhana,et kupigana makofi,aliyepgwa na anayepgia mwenzie wote wana faida gani?
 
Yaani nitoe hela yangu nione watu wakizabana makofi. Bora hata nikamuhonge demu anipe mzigo.
 
Back
Top Bottom