Naweza kukauwa hako ka@lucas Mwashambwa 😂Huu mchezo nitafurahi sana wakicheza Lucas Mwashambwa na johnthebaptist, halafu Mimi niwe shabiki, nashangilia tu misakato
Kamevimbiwa migagi, nguniani na kabunguja, mashavu yake yamekomaa, usisahau kuweka na kimbao cha mninga kwenye kiganja chakoNaweza kukauwa hako ka@lucas Mwashambwa 😂
Laiti wazungu wangekuwa na rede leo rede ungekuwa ni.mchezo wa kimataifa .Wazungu kila kitu dili