Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio sarafu mkuu!Kuwekea toothpick mkuu
Huo ni wa kuhifadhia penseli
Tutafute historia ya jeans...zilikuwa soecial kaxi ngumu migodini mabaharia etc...hapo unahifanyi voins na vitu vidogo vidogo.....usije ukauliza ile kama mifuko kwenye boxer maana daaaaa JF ni google sasa
Hivyo nilijua kwa ajili ya kutunza penseliHapo unaweka vitu unavyoeena kuvitumia muda mfupi ujao.
Mfano, unaenda kunywa beer 4, unaweka 10,000/- hapo ili kuepuka usumbufu wa kutoa wallet na kuhesabu hela mbele ya watu.
Wa kuwekea majungu
Hapana mkuu.Hivyo nilijua kwa ajili ya kutunza penseli
Siku ukiwa na kazi nao ndipo utakapo juwa kazi yake.
Suruali ya jeans bila kimfuko hicho ni jau.Majibu ya AI
Mfuko mdogo unaopatikana ndani ya mfuko wa mbele wa suruali za jeans unaitwa "watch pocket" au "coin pocket." Uliundwa mwanzoni na kampuni ya Levi Strauss mnamo miaka ya 1800 na ulikuwa na lengo la kuhifadhi saa ndogo za mkononi ambazo zilivaliwa na minyororo, maarufu sana kwa wakati huo. Wakati saa za mkononi zilipoachwa, mfuko huu bado ulionekana kuwa na matumizi mengine kama kuhifadhi sarafu, tiketi, au vitu vidogo visivyopotea kirahisi.
Ingawa matumizi yake ya sasa ni tofauti, bado mfuko huo unabaki kama kipengele cha jadi kwenye jeans, na pia ni maarufu kwa sababu ya muundo wake wa kipekee.
Mwanzoni ulikuwa wa kuwekea saa maana saa zilikuwa ni za kuweka mfukoni
Zamani kulikuwa na saa kama za kuvaa shingoni. Hazikuwa za kuva mkononi ndo zilikuwa zinawekwa hapo.