johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Naunga mkono hojaTunataka Katiba Mpya
Ulitaka nyerere afanye kila kitu, halafu inaerekea hujui chanzo kilicholeta vyama vingiCCM ya Mwalimu ilitengeneza mifumo ya hovyo sn ndiyo hii inatusumbua
Kwani vyama vingi ilikuwa ni Tz pekee? si tungeiga toka kwa wengine!Ulitaka nyerere afanye kila kitu, halafu inaerekea hujui chanzo kilicholeta vyama vingi
Hiyo ya kwamba 20% tu ndiyo walitaka mfumo wa vyama vingi una ushahidi wa facts au ni kwamba 'maneno' mliyolishwa na akina Nyerere mliyameza jumlajumla bila tafakuri zenu wenyewe, kama kuna hard facts zimwage hapa ili twende sawa.Ikumbukwe ni 20% tu ya wananchi ndio waliutaka mfumo wa vyama vingi huku 80% wakitaka CCM iongoze milele.
Hakuna utafiti wowote umefanyika kuonyesha mafanikio ya mfumo huu ndio maana 2020 wananchi kwa kauli moja waliamua kuichagua CCM kwa 98%
Kimaandishi Tanzania tumo kwenye mfumo wa vyama vingi vya siasa lakini kiuhalisia tunaishi kwenye mfumo wa chama kimoja.
Je, tutaendelea kujidanganya hadi lini kwamba Mbowe, Zitto na Prof Lipumba ni wapinzani huku macho yao tu yanadhihirisha uCCM wao?
Ifike mahali tuuishi uhalisia, tumechelewa sana ndugu zangu!
Kidumu Chama Cha Mapinduzi!
Alikuwa muongo snHiyo ya kwamba 20% tu ndiyo walitaka mfumo wa vyama vingi una ushahidi wa facts au ni kwamba 'maneno' mliyolishwa na akina Nyerere mliyameza jumlajumla bila tafakuri zenu wenyewe, kama kuna hard facts zimwage hapa ili twende sawa.
Unaitaka kutoka kwa nani?Tunataka Katiba Mpya
Kwahiyo akina Halima Mdee walitengenezwa na Nyerere?CCM ya Mwalimu ilitengeneza mifumo ya hovyo sn ndiyo hii inatusumbua
Kama CCM bila polisi na tume haishindi maana yake ni kuwa Tume na polisi ni ccm.Akili za watanzania wa 1980-1990 sio sawa na hizi za sasa.
Kwanza CCM ilikua imehodhi kila kitu , watu habari walizipata RTD kwa kiasi kikubwa ambayo sasa ndio TBCCM kisima cha propaganda.
Hata idadi ya wasomi na teknolojia ya kujipatia maarifa ilikua ndogo sana.
Nani asiyejua CCM bila tume na polisi haishindi?
View attachment 2176177
Huyo aliingia upinzani kumfata Mrema hajui chochote cha zaidi!Ulitaka nyerere afanye kila kitu, halafu inaerekea hujui chanzo kilicholeta vyama vingi
UVCCM akili zenu nanyi, Halima ni mfumo au ni mtu?Kwahiyo akina Halima Mdee walitengenezwa na Nyerere?
Kwahiyo na wewe unajivunia huo ujinga?Kama CCM bila polisi na tume haishindi maana yake ni kuwa Tume na polisi ni ccm.
Sasa mnatokaje hapo?
" akina " yaani covid 19 au CHACHANDUUVCCM akili zenu nanyi, Halima ni mfumo au ni mtu?
Halima alidanganywa na Bashiru" akina " yaani covid 19 au CHACHANDU
Uwe unaelewa manka.
Alidanganywa nini?Halima alidanganywa na Bashiru
Huu ndio uhalisia ambao wapinzani na wasomi wetu hawataki kuuelewa. Matokeo na maoni ya wananchi yalionyesha wazi. Sababu ya wananchi kukataa mfumo wa vyama vingi ni hofu ya vurugu za kisiasa kwa kuangalia mifano ya nchi nyingine hasa majirani zetu. Kwa miaka yote baada ya mfumo kukubaliwa, vyama vya upinzani havijafanya juhudi ya kuondoa hofu hii badala yake vinajinasibu kuwa bila kufanya hivyo na wananchi kuwa support CCM itabakia madarakani milele. Oparesheni za Ngangali, Jino kwa Jino, Sangara, Lazima kieleweke, Wakikataa tunakinukisha, Kugomea michakato n.k. zimendelea kudhihiri hofu waliyokuwanayo wale asilimia 80. Hata pale watawala wanapotoa platform za mazungumzo na maelewano wanagoma/wanatoka wakitaka mambo yaende watakavyo wao, Watawala watake wasitake. Kwa wakulima na wakazi wa vijijini ambako bado wanalima kwa kualikana, wanaombana chumvi na kushitikiana kwa shughuli za kijamii hii ni ngumu kumeza, ndio maana asilimia 20 ya waliotaka mfumo wa vyama vingi haikui kwa kasi sababu ina support ya watu wa mijini tu ambako wengine wanadhani ugumu wa maisha ni sababu ya watawala na sio mfumo wao wa maisha. JK Nyerere alilijua hili ndio maana akasema wapeni wajionee wenyewe. Ni mpaka pale vyama vya upinzani vitakapokuwa na siasa za ushawishi badala ya siasa shinikizi (Harakati) tutaona mabadiliko.Ikumbukwe ni 20% tu ya wananchi ndio waliutaka mfumo wa vyama vingi huku 80% wakitaka CCM iongoze milele.
Hakuna utafiti wowote umefanyika kuonyesha mafanikio ya mfumo huu ndio maana 2020 wananchi kwa kauli moja waliamua kuichagua CCM kwa 98%
Kimaandishi Tanzania tumo kwenye mfumo wa vyama vingi vya siasa lakini kiuhalisia tunaishi kwenye mfumo wa chama kimoja.
Je, tutaendelea kujidanganya hadi lini kwamba Mbowe, Zitto na Prof Lipumba ni wapinzani huku macho yao tu yanadhihirisha uCCM wao?
Ifike mahali tuuishi uhalisia, tumechelewa sana ndugu zangu!
Kidumu Chama Cha Mapinduzi!
Upinzani ni hali ya kuwa na maoni tofauti kuhusu jambo fulani.Ikumbukwe ni 20% tu ya wananchi ndio waliutaka mfumo wa vyama vingi huku 80% wakitaka CCM iongoze milele...