Huu Mfumo wa Vyama Vingi ulitengenezwa na CCM kukidhi mahitaji ya wale Wananchi 20%. Ni mfumo uliozuia Rais kutoka Upinzani

Huu Mfumo wa Vyama Vingi ulitengenezwa na CCM kukidhi mahitaji ya wale Wananchi 20%. Ni mfumo uliozuia Rais kutoka Upinzani

Ccm wanadumu kwa kutumia huu ujinga na kwa kupitia dola wameendelea kutisha watu kuwa upinzani si kitu.
Wanakataa vitu vya msingi kama katiba bora na tume huru ya uchaguzi bila kujua kwamba hivyo vitawafanya waendelee kuwepo.
Hatari iliyopo ni kuwa ikiwa itatokea chama kingine kikashinda kwa katiba hii na tume hii na kikatawala kwa mfumo huo ccm itafutika kama KANU na UNIP vilivyofutika huko Kenya na Zambia.
Kudai CCM hawataki uwepo Katiba bora ni upotoshaji vinginevyo 1914 wasingekubali kuanza kwa mchakato. Na tutambue mchakato ulianza kukiwa na wabunge wengi wa upinzani wakiongozwa na Chadema, kwa kuunda sheria ya kuongoza mchakato wenyewe iliyoridhiwa na wabunge wote.

Sheria pamoja na mambo mengine ilielekeza lini/kipi kianze na lini/kipi kitaishia na lini ianze kitumika. Tunajua ninì kilitokea kwa sababu ya wanasiasa kujali masilahi yao badala ya katiba bora.

Na hata sasa CCM Wanapotoa fulsa ya wa majadiliano kuangaĺia namna ya kukwamua mkwamo wa 2014, wanasiasa maslahi wanashinikiza yao ya kisiasa na hawataki mijadala.

Katiba ni ya wananchi lazima kuwe na uongozi wa kutoa dira ya LINI kwa MAMNA GANI kulingana na mazingira ya sasa na Uwekezaji, unaweza kutupatia Katiba bora.

Katiba sio dodo unaloweza okota kwa kudondoka toka mtini. Ni mchakato wa zaidi ya miaka minne hadi itumike.
 
Tunakumbushana tu.

Mfumo wa Vyama vingi vya siasa nchini ni wa CCM kwa sababu ndio waliouasisi

Kura ya maoni ilivyopigwa ni 20% ya wananchi ndio waliutaka mfumo wa Vyama vingi

Ili kukuza demokrasia CCM ikasema Wengi wasikilizwe lakini wachache wàpewe
 
Mmmmmm na tukumbushane pia nani alisimamia maoni haya na upigaji wake wa kura..tuanzie hapo kabla hatujafika kwenye results zake
 
Tunakumbushana tu.

Mfumo wa Vyama vingi vya siasa nchini ni wa CCM kwa sababu ndio waliouasisi

Kura ya maoni ilivyopigwa ni 20% ya wananchi ndio waliutaka mfumo wa Vyama vingi

Ili kukuza demokrasia CCM ikasema Wengi wasikilizwe lakini wachache wàpewe
Kama maoni hayo yalikusanywa kwa wananchi kama ulivyo fanyika uchaguzi wa 2020 basi ni sahihi sana.
 
Dini zimetugawa inatosha hatutaki mtugawe,kiitikadi. Tunahitaji chama kimoja au dini moja.mfano wazungu most Christians na waarabu most Islamic,. China chama kimoja high economy ya pili. japani head king high economy. Egypt, Iran,Saud dini moja.Hatutaki kutugawa .livelong JPM kwaakuufanya tuwe wamoja
 
Back
Top Bottom