Huu Mgao wa umeme Ukiendelea hiví kuna watu watapoteza kazi huko sekta Binafsi

Huu Mgao wa umeme Ukiendelea hiví kuna watu watapoteza kazi huko sekta Binafsi

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
4,118
Reaction score
9,864
Great Thinkers.

Hali ya upatikanaji wa umeme nchini inatisha na bahati mbaya Serikali na Tanesco wanatuficha ukweli uliopo.

Dotto Hakuna lolote la maana alilolifanya toka aingie Hapo. Kwa kweli shuguli za watu zinaathirika Sana.

Tuna Zaidí miezi sita ni kata kata tu na sababu zisizoluwa na mashiko..

Nawashangaa Sana wanaomkingia kifua Mama she is the worst president of all time watu hawaelewi Kesho Yao

Wawekezaji wamechoka. Wameshasema enough is enough
 
Wakati mwingine ccm inaamua TU kwa makusudi kuua uchumi ili wengi wazidi kuwa masikini
 
Mama anaupigaaa mwingii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
FB_IMG_1695416013260.jpg
 
KIZIMKAZI YY anacho weza ni kuteua na kutengua TU. Umeme kazidiwa kete na wengine wenye kubaki ikulu YY akiwa nje y Tanganyika Kwa mda mrefu. Akirudi anacmuliwa TU story za umeme
 
Great Thinkers.

Hali ya upatikanaji wa umeme nchini inatisha na bahati mbaya Serikali na Tanesco wanatuficha ukweli uliopo.

Dotto Hakuna lolote la maana alilolifanya toka aingie Hapo. Kwa kweli shuguli za watu zinaathirika Sana.

Tuna Zaidí miezi sita ni kata kata tu na sababu zisizoluwa na mashiko..

Nawashangaa Sana wanaomkingia kifua Mama she is the worst president of all time watu hawaelewi Kesho Yao

Wawekezaji wamechoka. Wameshasema enough is enough
Mkiambiwa andamaneni hamataki, mnataka nini? Serikali inajua fika inatawala raia saaa na Maiti, hakuna kitu mnaweza ifanya Serikali, hata mgao ukidumu miaka 20
 
Back
Top Bottom