The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Ni siasa
Serekare midamida inakwama sana
Mkiambiwa andamaneni hamataki, mnataka nini? Serikali inajua fika inatawala raia saaa na Maiti, hakuna kitu mnaweza ifanya Serikali, hata mgao ukidumu miaka 20Great Thinkers.
Hali ya upatikanaji wa umeme nchini inatisha na bahati mbaya Serikali na Tanesco wanatuficha ukweli uliopo.
Dotto Hakuna lolote la maana alilolifanya toka aingie Hapo. Kwa kweli shuguli za watu zinaathirika Sana.
Tuna Zaidí miezi sita ni kata kata tu na sababu zisizoluwa na mashiko..
Nawashangaa Sana wanaomkingia kifua Mama she is the worst president of all time watu hawaelewi Kesho Yao
Wawekezaji wamechoka. Wameshasema enough is enough