Huu Mjengo wa Boniface Jacob ni kwa kuuza mayai? Mbona watu kibao wa mkoa wa Mara ni wakongwe tunasikia wana maisha ya kawaida?

Siwezi kuliit kasri lakini kijana angalau kajenga nyumba nzuri.

Mayai naona ni zuga tu, watu kibao wa Mkoa wa Mara wanaoishi Dar wanapiga hii business ila wana maisha ya kawaida.

View attachment 2933671

View attachment 2933673
Watakatishaji pesa hao wa join the Chain,pesa za kuwa.meya wa Dar nk.

Ndio maana wanajivuna Sasa asingethubutu awamu ya Jiwe.

Mwisho unakuta nyumbu wanasombwa kwenda kuandamana wenzao wanakula maisha 😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…