Huu Mjengo wa Boniface Jacob ni kwa kuuza mayai? Mbona watu kibao wa mkoa wa Mara ni wakongwe tunasikia wana maisha ya kawaida?

Nimeamini watu wengi wa Jf tu Malofa na hatuna exposure. Hiyo nyumba siyakujadili kwa mtu amekuwa Mpaka Meya.Kuna vijana wengi tu wa Kariakoo wanamiliki nyumba kubwa zaidi ya hapo na nimawinga tu au ana Duka la simu.
 
Hivi Bon anapoandamana anakaa mbele na filimbi mvua inamnyeshea na tumbo lote lile wewe huwa huoni anasota??? umekaa tu halafu akijenga unaona wivu acha ujinga. unataka akose pakulala mwili wote ule akapange huko manzese atubane kutusumbua muache. Tena Boni Yai kajenge ghorofa lingine Chalinze mkuu ukiwa unazeeka unasogea kule usitubane mjini hapa joto kali mwili mkubwa huo.
 
Ni wachache tuweni wakweli
Kundi kubwa la watanzania maisha yao yanajulikana wengi ni wabangaizaji milo mitatu changamoto
Tuacheni majungu
 
Jamaa ni mpambanaji sana sio masihara uwe mpinzani alafu uwe na mafanikio ni ngumu
Nchi hii kuna fitna sana ndo maana makonda alisema matajiri wengi wanakua ccm sababu wanalinda mali zao
 
Ni wachache tuweni wakweli
Kundi kubwa la watanzania maisha yao yanajulikana wengi ni wabangaizaji milo mitatu changamoto
Tuacheni majungu
Dr Janabi kashakuambia milo mi3 siyo afya. Kwa iyo wabongo wengi afya zao nzuri hawali milo mitatu.
 
Watanzania wanaupenda umasikini.
Wakiona mtu kafanikiwa wanakasirika, sababu wanataka kila mtu awe kama wao
 
Back
Top Bottom