dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
Mbna inawezekana mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama wewe ulivyofanywa ngazi EEKawadanganyeni hao wapumbavu ambao Huwa mnawasomba kwenye maandamano na kuwafanya ngazi
Hakuna mwanasiasa wa kujifanya ngazi ,labda niwe mnufaikaKama wewe ulivyofanywa ngazi EE
Masndamano yanakuzuia kufanya KAZI?
SA nyumba ni bei rahisi sanaMjengo wa kawaida sana huu ukiuwekea mipango. Nilikuwa sijauona,
Ingekuwa amejenga Ulaya au SA ndio ningeshtuka.
Ww c ndio umelalamika kule jirani anapandisha gorofa. Kama ni rahisi mbona unalia kuleMbna inawezekana mkuu
Hao wana tofauti gani na wanaojiita chawa wa samia?Kawadanganyeni hao wapumbavu ambao Huwa mnawasomba kwenye maandamano na kuwafanya ngazi
Bora chawa wa Samia pengine Kuna namna wananufaikaHao wana tofauti gani na wanaojiita chawa wa samia?
Nikuambie kitu dogo?Bora chawa wa Samia pengine Kuna namna wananufaika
Dogo ni mkeoNikuambie kitu dogo?
Ni wachache tuweni wakweliNimeamini watu wengi wa Jf tu Malofa na hatuna exposure. Hiyo nyumba siyakujadili kwa mtu amekuwa Mpaka Meya.Kuna vijana wengi tu wa Kariakoo wanamiliki nyumba kubwa zaidi ya hapo na nimawinga tu au ana Duka la simu.
Jamaa ni mpambanaji sana sio masihara uwe mpinzani alafu uwe na mafanikio ni ngumuHivi Bon anapoandamana anakaa mbele na filimbi mvua inamnyeshea na tumbo lote lile wewe huwa huoni anasota??? umekaa tu halafu akijenga unaona wivu acha ujinga. unataka akose pakulala mwili wote ule akapange huko manzese atubane kutusumbua muache. Tena Boni Yai kajenge ghorofa lingine Chalinze mkuu ukiwa unazeeka unasogea kule usitubane mjini hapa joto kali mwili mkubwa huo.
Dr Janabi kashakuambia milo mi3 siyo afya. Kwa iyo wabongo wengi afya zao nzuri hawali milo mitatu.Ni wachache tuweni wakweli
Kundi kubwa la watanzania maisha yao yanajulikana wengi ni wabangaizaji milo mitatu changamoto
Tuacheni majungu
Hii style mpya za nyumba ambazo hazina madirisha ya aluminium hazipendezi. Hata ghorofa la chief godlove halina aluminium.Siwezi kuliita kasri lakini itoshe kusema kijana angalau kajenga nyumba nzuri.
Mayai naona ni zuga tu, watu kibao wa Mkoa wa Mara wanaoishi Dar wanapiga hii business ila wana maisha ya kawaida.
View attachment 2933671
View attachment 2933673
View attachment 2933686
View attachment 2933687
Nzuri wapi wengi wanashinda njaaDr Janabi kashakuambia milo mi3 siyo afya. Kwa iyo wabongo wengi afya zao nzuri hawali milo mitatu.
mbona hana tuhuma polisi za kuiba fedhaMkuu unataka kusema kwamba pesa alizoiba kama meya ndio anazitakatisha kwa kupitia biashara ya mayai??