Huu Mkataba siyo Intergovernmental, Dubai siyo Nchi

Eti Sheikhdom!...
A sheikhdom or sheikdom is a geographical area or a society ruled by a tribal leader known as a sheikh. Sheikhdoms exist almost exclusively within Arab countries, particularly in the Arabian Peninsula, with some notable exceptions throughout history
 
Huu mkataba hauna hadhi ya intergovernmental yani IGA kwa sababu Dubai siyo nchi bali ni serikali ya mkoa kama serikali ya mkoa wa Simiyu.

Kwanini huu mkataba wanauita IGA wakati haukidhi matakwa ya kuitwa hivyo? Nasimama kuelimishwa.
Napenda kukusahihisha:

Mkataba haukuandikwa kuwa ni makubaliano kati ya Dubai(jimbo/mkoa) na Tanzania, bali umeandikwa ni kati ya Emirate(nchi) na Tanzania.

Kwa hiyo ikitokezea muekezaji mwengine kutoka Emirate awe kutoka Dubai, Ras Al Khaimah, Abu dhabi wote watafata hiyo IGA, tofauti itakuwa ni kwenye HGAs tu.
 
Uko sawa.

IGA na mikataba ya Awali walisaini ni FAKE, BATILI,inapingana na Katiba,hivyo INAWEZA KUVUNJWA Kwa nguvu ya UMMA!!
 
Huu mkataba hauna hadhi ya intergovernmental yani IGA kwa sababu Dubai siyo nchi bali ni serikali ya mkoa kama serikali ya mkoa wa Simiyu.

Kwanini huu mkataba wanauita IGA wakati haukidhi matakwa ya kuitwa hivyo? Nasimama kuelimishwa.
Hapa tushapigwa
 
Emirate inajumuisha:-

Abu Dhabi, Dubai, Sharjah, Ajman, Umm Al-Quwain, Fujairah, na Ras Al Khaimah
Siyo kweli.Kila moja hapo ni Emirate .Zilipoungana ndo zikatengeneza dola moja inayoitwa United Arab Emirates yaani Muungano wa falme za Kiarabu.Dubai kama ka ufalme ndani ya UAE imekata wapa mamlaka ya kuingia makubaliano n Dola kamili liitwalo Jamuhuri y Muungano ya Tanzania?
 
Huu mkataba hauna hadhi ya intergovernmental yani IGA kwa sababu Dubai siyo nchi bali ni serikali ya mkoa kama serikali ya mkoa wa Simiyu.

Kwanini huu mkataba wanauita IGA wakati haukidhi matakwa ya kuitwa hivyo? Nasimama kuelimishwa.
Mjinga mwingine ni huyu hapa. Anahitaji sana kuondolewa huo ujinga wake kichwani.

Dubai ni sehemu ya UAE yenye majimbo saba. Ni sawa ufanye biashara na Houston halafu mtu aseme Houston sio nchi wakati inajulikana ni jimbo mojawapo la USA.
 
Napenda kukusahihisha:

Mkataba haukuandikwa kuwa ni makubaliano kati ya Dubai(jimbo/mkoa) na Tanzania, bali umeandikwa ni kati ya Emirate(nchi) na Tanzania.

Kwa hiyo ikitokezea muekezaji mwengine kutoka Emirate awe kutoka Dubai, Ras Al Khaimah, Abu dhabi wote watafata hiyo IGA, tofauti itakuwa ni kwenye HGAs tu.
Maana ya emirate ni mkoa siyo nchi. Mfano UAE kuna emirates (mikoa) saba ambayo ni :

For example, the United Arab Emirates (UAE) is a federation of seven emirates, namely Abu Dhabi, Dubai, Sharjah, Ajman, Umm Al Quwain, Ras Al Khaimah, and Fujairah. Each emirate within the UAE has its own ruler, known as an emir, who governs the emirate and exercises varying degrees of political and administrative authority within the framework of the federal government.
 
Can Dubai on its own enter the intergovernmental agreement ?

No, Dubai, as a city within the United Arab Emirates (UAE), does not have the authority to independently enter into intergovernmental agreements with foreign countries. The UAE, as a sovereign nation, is responsible for conducting international relations and negotiating agreements with other countries on behalf of all its emirates, including Dubai.
The UAE's federal government, based in Abu Dhabi, is the entity that handles foreign affairs, diplomacy, and the signing of international agreements. While Dubai has some autonomy in specific areas such as economic policies and regulations, matters of international diplomacy and foreign policy fall under the jurisdiction of the federal government.
Therefore, any intergovernmental agreements involving the UAE would be negotiated and signed by the federal government in coordination with all the emirates, including Dubai.
 
Sisi ndio wahitaji halafu tumejifungafunga na masheria ya kijinga. sijui ni nani ametudumaza akili.
Ni kweli kabisa tunahitaji kushirikiana na wengine ili tunufaike.
Lakini ikiwa tinaingia makubaliano ya kinyonyaji bora kusubiri ambaye atakiwa mtu sahihi.
Tuchukulie madini ambayo yanachimbwa kwa kujengewa zahanati au darasa ktk shule halafu hatutakuwa nayo jumla si bora yasichimbwe?
Kwani kuna mtu hataki Bandari ifanye ufanisi tunapenda maana tulijua kuwa kuna uzembe, mara wanachezea mita, mizigo inapotea na kuuziana, mara gari zinakuja hazijulikani aliyeagiza na ujinga mwingi. Lakini je hiyo ndio tuingie mkataba wa Ovyo?
Kama ni mnufaika utashabikia lkn wengine hatuna uchama wala uchawa. We stay neutral tukipenda rais afanye vizuri
 
Huu mkataba hauna hadhi ya intergovernmental yani IGA kwa sababu Dubai siyo nchi bali ni serikali ya mkoa kama serikali ya mkoa wa Simiyu.

Kwanini huu mkataba wanauita IGA wakati haukidhi matakwa ya kuitwa hivyo? Nasimama kuelimishwa.

"
Can Dubai on its own enter the intergovernmental agreement ?

No, Dubai, as a city within the United Arab Emirates (UAE), does not have the authority to independently enter into intergovernmental agreements with foreign countries. The UAE, as a sovereign nation, is responsible for conducting international relations and negotiating agreements with other countries on behalf of all its emirates, including Dubai.
The UAE's federal government, based in Abu Dhabi, is the entity that handles foreign affairs, diplomacy, and the signing of international agreements. While Dubai has some autonomy in specific areas such as economic policies and regulations, matters of international diplomacy and foreign policy fall under the jurisdiction of the federal government.
Therefore, any intergovernmental agreements involving the UAE would be negotiated and signed by the federal government in coordination with all the emirates, including Dubai.
"

Kukosoa heading ambayo inatoa impression kwamba ili ku sign inter government agreement ni lazima uwe nchi, napenda kuandika yafuatayo.

Bila kusema lolote kuhusu uzuri au ubaya wa mkataba (ambapo nina mengi ya kuukosoa mkataba).

Mkuu,

Unafahamu kwamba hata Halmashauri ya Mji ni government?

Unafahamu local government nayo ni government?

Na unafahamu kwamba hata hizo local governments zinaweza kusign IGA?

Tunaelewa tofauti ya international na intergovernment?
 
Back
Top Bottom