Huu Mkataba siyo Intergovernmental, Dubai siyo Nchi

Yaani hata hawajishtukii, nchi kuingia mkataba na kampuni binafsi halafu uite intergovernmental agreement ni udhalilishaji mkubwa wa nchi hii tukufu aliyoijenga baba wa taifa Mwalimu Nyerere.
 
Unaeza kuta ni kikundi cha watu tu wametengeneza kwa majina feki feki wapate kupiga hela hapo bandarini.

Unashindwa kuelewa wasomi wote katika ofisi ya mwanasheria wa serikali na utitiri wa majaji na mawakili huko serikali jambo kama hili walishindwaje kuling’amua.
 
Ni shida sana, ngoja waje watuelimishe.
 
Unaeza kuta ni kikundi cha watu tu wametengeneza kwa majina feki feki wapate kupiga hela hapo bandarini.

Unashindwa kuelewa wasomi wote katika ofisi ya mwanasheria wa serikali na utitiri wa majaji na mawakili huko serikali jambo kama hili walishindwaje kuling’amua.
Wasomi wa Tanzania karibu wote wanaendeshwa kwa amri kutoka juu.

Kwa hivyo hiyo si point ya msingi Tanzania.
 
Siyo kweli.Kila moja hapo ni Emirate .Zilipoungana ndo zikatengeneza dola moja inayoitwa United Arab Emirates yaani Muungano wa falme za Kiarabu.Dubai kama ka ufalme ndani ya UAE imekata wapa mamlaka ya kuingia makubaliano n Dola kamili liitwalo Jamuhuri y Muungano ya Tanzania?
Mkuu unaongea ulisolijua.
Inaonekana unapiga kelele wala hujui kilichoandikwa kwenye mkataba, umeshikilia Dubui ameingia mkataba na Tanzania.

Mkataba umeandikwa ni makubaliano kati ya Tanzania na emirate, wewe unashikilia Tanzania na Dubai.
 
Mkuu, Dubai ni Emirate moja iliyo katika United Arab Emirates.

Emirate maana yake ni falme inayoongozwa na Emir, Kiswahili tunasema Amiri, Kiongozi Mkuu, Mfalme (au mwanamfalme). Hili neno Amiri Jeshi Mkuu tunalolitumia katika Kiswahili linatokana na hilo neno la Kiarabu Amir, Waingereza wanaita Emir. Amir ni kamanda mkubwa kabisa jeshini, ambaye kiasili anakuwa ni mfalme, mwanamfalme, na hata kwetu ndiyo maana rais ni Amiri Mkuu wa Majeshi.

Sasa hizi falme zimeungana saba zikafanya nchi inayoitwa United Arab Emirates (UAE). Hii UAE ndiyo inayotambulika kimataifa, ndiyo yenye kiti United Nations, ndiyo inayosaini au kuidhinisha mikataba ya kimataifa.

Tatizo linalozungumziwa hapa ni kwamba, makubaliano ya Inter Government Agreement (IGA) ya Bandari ya Dar yamesainiwa kati ya serikali ya Tanzania na Serikali ya Dubai, si serikali ya Tanzania na Serikali ya UAE.

Ukisoma makubaliano ya IGA utaona ni makubaliano kati ya serikali ya Tanzania na Serikali ya Dubai, si serikaki ya Tanzania na serikali ya UAE.

Watu wanasema kwamba serikali ya Dubai haina nguvu ya kusaini mkataba wa kimataifa kama huu, ingawa kuna wengine tunasema inawezekana serikali ya UAE imeipa idhini serikali ya Dubai kusaini mkataba wa kimataifa kama huu.

Nimekuwekea IGA hapa uisome uone mwenyewe.

Inaitwa "Intergovernmental Agreement Between The United Republic of Tanzania and The Emirate of Dubai".

Hakuna UAE hapo. Hapo ndipo kwenye mzozo wa thread hii.

Kuelewa zaidi serikali ya UAE ikoje, soma hapa

Ushaelewa mjadala uko wapi?

Ipate IGA yenyewe nai attach hapa.
 
Attachments

Wewe ni kilaza tu uliyekaririshwa tu kama Kasuku.Dubui ndo Nini? Hata hujui maana ya Emirate.
 
Hilo jamaa halina linalokijua,yaani ni HOHO
 
Attachments

Huu mkataba hauna hadhi ya intergovernmental yani IGA kwa sababu Dubai siyo nchi bali ni serikali ya mkoa kama serikali ya mkoa wa Simiyu.

Kwanini huu mkataba wanauita IGA wakati haukidhi matakwa ya kuitwa hivyo? Nasimama kuelimishwa.

"
Can Dubai on its own enter the intergovernmental agreement ?

No, Dubai, as a city within the United Arab Emirates (UAE), does not have the authority to independently enter into intergovernmental agreements with foreign countries. The UAE, as a sovereign nation, is responsible for conducting international relations and negotiating agreements with other countries on behalf of all its emirates, including Dubai.
The UAE's federal government, based in Abu Dhabi, is the entity that handles foreign affairs, diplomacy, and the signing of international agreements. While Dubai has some autonomy in specific areas such as economic policies and regulations, matters of international diplomacy and foreign policy fall under the jurisdiction of the federal government.
Therefore, any intergovernmental agreements involving the UAE would be negotiated and signed by the federal government in coordination with all the emirates, including Dubai.
"
Am worried with our parliamentarians if they don't even know about these small things. Shameful!
 
Hata kama Dubai ingekuwa ni nchi, mkataba umesainiwa kati ya Tanzania na kampuni (DPW), hivyo bado haustahili kuitwa IGA
 
Duh..!!! Hatari. Mnajificha kwenye makubaliano, as if mkataba siyo makubaliano. ANyway, mkataba wa kuipa DPW bandari zetu
Mkataba, makubaliano, whatever, unaweza kuweka hapa ili nijue kwamba tunazungumza kitu kimoja?

Or re you just shooting off of your keyboard?
 
Ninayo nilishapakua jana
Then unakubali kwamba hii issue si straightforward kama watu wanavyotaka kuisema kuwa ipo straightforward hivyo hapa?

TLS wenyewe wanaomba msaada.

Kuna kitu niliandika hapo awali, kama hujui kuwa serikali ya UAE imeipa au haijaipa idhini serikali ya Dubai kusaini mkataba huu, huwezi kujenga hoja kwamba serikali ya Dubai haiwezi kusaini mkataba huu.

Na siamini kwamba serikali ya Dubai wanaweza kuwa wajinga kusaini mkataba mkubwa kama huu bila kupata idhini ya serikali ya UAE.

Hii thread inatuondoa kwenye kazi muhimu na ya msingi, ya kuangalia na kupinga mapungufu ya mkataba wenyewe, badala ya kuangalia kama serikali ya Dubai ina nguvu za kusaini mkataba. We are bdistracted now.

TLS wameona point hii hii, soma 2.8. here

Ndiyo maana wakasema wanahitaji input kutoka kwa mtu anayejua sheria za Dubai zaidi.

Basically kuna gap ya information hapa na huwezi kuamua one way or the other mpaka umalize hiyo gap.

cc MkamaP
 
Kuna dalili kuwa aliyeapa kuilinda na kuiheshimu katiba ni mwingine na anayeongoza watanzania ni kikundi cha watu watano.

Tutapata shida sana sana
 
Leo nimesoma Zanzibar wameingia mkataba na kampuni tofauti kuendesha na kuboresha bandari zake kwa kipindi cha miaka5.soma hiyo
 
Then unakubali kwamba hii issue si straightforward kama watu wanavyotaka kuisema kuwa ipo straightforward hivyo hapa?

TLS wenyewe wanaomba msaada.

Kuna kitu niliandika hapo awali, kama hujui kuwa serikali ya UAE imeipa au haijaipa idhini serikali ya Dubai kusaini mkataba huu, huwezi kujenga hoja kwamba serikali ya Dubai haiwezi kusaini mkataba huu.

Na siamini kwamba serikali ya Dubai wanaweza kuwa wajinga kusaini mkataba mkubwa kama huu bila kupata idhini ya serikali ya UAE.

Hii thread inatuondoa kwenye kazi muhimu na ya msingi, ya kuangalia na kupinga mapungufu ya mkataba wenyewe, badala ya kuangalia kama serikali ya Dubai ina nguvu za kusaini mkataba. We are bdistracted now.

TLS wameona point hii hii, soma 2.8. here

Ndiyo maana wakasema wanahitaji input kutoka kwa mtu anayejua sheria za Dubai zaidi.

Basically kuna gap ya information hapa na huwezi kuamua one way or the other mpaka umalize hiyo gap.

cc MkamaP

Ingeipa mamlaka hua wanaandika kitu fulani kwa niaba ama mfano, ingekuwa UAE kisha pale chini yakawa Dubai.

Mfano:
United Republic of Tanzania
Local Government, Simiyu region.

Ila Hii unaona hata ile heading pale juu siyo UAE bali ni Dubai, kisha dubai anampa mtu mamlaka fulani kusaini. Haya ndo mambo yakutolea ufafanuzi kwa facts.

Uhalali wa Dubai kusaini ndo una establish uhalali wa mkataba, sasa utajua je kama kweli huo mkataba ni halali ama ni kundi la watu wachache kutumia brand ya DP world na Dubai ili kutupiga?
 
Back
Top Bottom