Village fooler
JF-Expert Member
- Mar 16, 2020
- 706
- 1,425
A sheikhdom or sheikdom is a geographical area or a society ruled by a tribal leader known as a sheikh. Sheikhdoms exist almost exclusively within Arab countries, particularly in the Arabian Peninsula, with some notable exceptions throughout historyEti Sheikhdom!...
Napenda kukusahihisha:Huu mkataba hauna hadhi ya intergovernmental yani IGA kwa sababu Dubai siyo nchi bali ni serikali ya mkoa kama serikali ya mkoa wa Simiyu.
Kwanini huu mkataba wanauita IGA wakati haukidhi matakwa ya kuitwa hivyo? Nasimama kuelimishwa.
Uko sawa.Huu mkataba hauna hadhi ya intergovernmental yani IGA kwa sababu Dubai siyo nchi bali ni serikali ya mkoa kama serikali ya mkoa wa Simiyu.
Kwanini huu mkataba wanauita IGA wakati haukidhi matakwa ya kuitwa hivyo? Nasimama kuelimishwa.
Hapa tushapigwaHuu mkataba hauna hadhi ya intergovernmental yani IGA kwa sababu Dubai siyo nchi bali ni serikali ya mkoa kama serikali ya mkoa wa Simiyu.
Kwanini huu mkataba wanauita IGA wakati haukidhi matakwa ya kuitwa hivyo? Nasimama kuelimishwa.
Hata angeusoma asingeulewa.Yule mama alisaini tu hakuusoma na hata angeusoma mmmh
Siyo kweli.Kila moja hapo ni Emirate .Zilipoungana ndo zikatengeneza dola moja inayoitwa United Arab Emirates yaani Muungano wa falme za Kiarabu.Dubai kama ka ufalme ndani ya UAE imekata wapa mamlaka ya kuingia makubaliano n Dola kamili liitwalo Jamuhuri y Muungano ya Tanzania?Emirate inajumuisha:-
Abu Dhabi, Dubai, Sharjah, Ajman, Umm Al-Quwain, Fujairah, na Ras Al Khaimah
Mjinga mwingine ni huyu hapa. Anahitaji sana kuondolewa huo ujinga wake kichwani.Huu mkataba hauna hadhi ya intergovernmental yani IGA kwa sababu Dubai siyo nchi bali ni serikali ya mkoa kama serikali ya mkoa wa Simiyu.
Kwanini huu mkataba wanauita IGA wakati haukidhi matakwa ya kuitwa hivyo? Nasimama kuelimishwa.
Je, katiba ya kwetu inaruhusu nchi iingie mikataba na sehemu isiyo hadhi yake, yaani isiyo nchi? Nchi yenye hadhi ya Tanzania ni Himarati (UAE), si Dubai.Kama katiba yao inaruhusu individual Sheikhdom kuingia mikataba ya kimataifa je?
Sisi ndio wahitaji halafu tumejifungafunga na masheria ya kijinga. sijui ni nani ametudumaza akili.Je, katiba ya kwetu inaruhusu nchi iingie mikataba na sehemu isiyo hadhi yake, yaani isiyo nchi? Nchi yenye hadhi ya Tanzania ni Himarati (UAE), si Dubai.
MtanikumbukaNchi ya hovyoooo na huyo bibi yenu ndo hamna kitu
Maana ya emirate ni mkoa siyo nchi. Mfano UAE kuna emirates (mikoa) saba ambayo ni :Napenda kukusahihisha:
Mkataba haukuandikwa kuwa ni makubaliano kati ya Dubai(jimbo/mkoa) na Tanzania, bali umeandikwa ni kati ya Emirate(nchi) na Tanzania.
Kwa hiyo ikitokezea muekezaji mwengine kutoka Emirate awe kutoka Dubai, Ras Al Khaimah, Abu dhabi wote watafata hiyo IGA, tofauti itakuwa ni kwenye HGAs tu.
Ni kweli kabisa tunahitaji kushirikiana na wengine ili tunufaike.Sisi ndio wahitaji halafu tumejifungafunga na masheria ya kijinga. sijui ni nani ametudumaza akili.
Mh!!Mwarabu alidraft mkataba ukaletwa wanasheria wetu hawakuusoma zaidi ya kuweka sahihi
SureMh!!
Aisee..Sure
Huu mkataba hauna hadhi ya intergovernmental yani IGA kwa sababu Dubai siyo nchi bali ni serikali ya mkoa kama serikali ya mkoa wa Simiyu.
Kwanini huu mkataba wanauita IGA wakati haukidhi matakwa ya kuitwa hivyo? Nasimama kuelimishwa.
"
Can Dubai on its own enter the intergovernmental agreement ?
No, Dubai, as a city within the United Arab Emirates (UAE), does not have the authority to independently enter into intergovernmental agreements with foreign countries. The UAE, as a sovereign nation, is responsible for conducting international relations and negotiating agreements with other countries on behalf of all its emirates, including Dubai.
The UAE's federal government, based in Abu Dhabi, is the entity that handles foreign affairs, diplomacy, and the signing of international agreements. While Dubai has some autonomy in specific areas such as economic policies and regulations, matters of international diplomacy and foreign policy fall under the jurisdiction of the federal government.
Therefore, any intergovernmental agreements involving the UAE would be negotiated and signed by the federal government in coordination with all the emirates, including Dubai.
"