uoga wako ndio unaskini wako,Juzi hapa tumesikia kuwa Tanzania imekopa zaidi ya billion 400 Kwa ajili ya ujenzi wa Hospitali Zanzibar, sawa.
Bajeti ya Zanzibar Kwa mwaka 24/25 ni trilion 2.6. maana yake ni kuwa sh. 2.6 trilion ni bajeti ya wizara zote Zanzibar.. sawa.
Je, billion 400 SI zaidi ya bajeti ya wizara moja Kwa upande wa Zanzibar?
Je, wizara ya afya Kwa upande wa Zanzibar ni kiasi Gani Kwa wajuvi wa mambo.?
Zanzibar inapopokea sh. 400 b. Italipa yenyewe au TANGANYIKA? NA KAMA NI KWELI NAOMBA KUELIMISHWA HAPA SIELEWI.
uoga wako ndio unaskini wako,
Tanzania inakopa popote, na inakopesheka kokote duniani kiasi cha fedha kadiri inavyoona inafaa kwaajili ya miradi ya maendeleo kwa wanainchi wake, inaweza kukopa kwenye taasisi za fedha duniani au nchi mahalia, na inaaminika na kukopesheka kwasababu ina uwezo na uhakika wa kulipa au kurejesha kwa wakati madeni hayo 🐒
kwan kuna ubaya wowote hapo ndrugu zango...
Sijaenda mkuuUlienda kuangalia dolphin huko kizimkazi?
hebu fafanua vizuri hapo kwa ufupi kwa faida ya wadau 🐒Hapa umeongea kinaya boss
Kwanini umeuliza mkuuSijaenda mkuu
Nilipoona neno TANGANYIKA nikaona nikupuuze tu. Hii hoja ya kibaguzi iliyoasisiwa na CHADEMA haitakaa iwasaidie kuingia ikulu. Watanzania hawawezi kukubali kuwachagua watu watakaoleta ubaguzi. Mkipata madaraka mtasema mnataka jamhuri ya kaskazini kama ambavyo mmekuwa mkiota.Juzi hapa tumesikia kuwa Tanzania imekopa zaidi ya billion 400 Kwa ajili ya ujenzi wa Hospitali Zanzibar, sawa.
Bajeti ya Zanzibar Kwa mwaka 24/25 ni trilion 2.6. maana yake ni kuwa sh. 2.6 trilion ni bajeti ya wizara zote Zanzibar.. sawa.
Je, billion 400 SI zaidi ya bajeti ya wizara moja Kwa upande wa Zanzibar?
Je, wizara ya afya Kwa upande wa Zanzibar ni kiasi Gani Kwa wajuvi wa mambo.?
Zanzibar inapopokea sh. 400 b. Italipa yenyewe au TANGANYIKA? NA KAMA NI KWELI NAOMBA KUELIMISHWA HAPA SIELEWI.
Watalipa Watanganyika.Juzi hapa tumesikia kuwa Tanzania imekopa zaidi ya billion 400 Kwa ajili ya ujenzi wa Hospitali Zanzibar, sawa.
Bajeti ya Zanzibar Kwa mwaka 24/25 ni trilion 2.6. maana yake ni kuwa sh. 2.6 trilion ni bajeti ya wizara zote Zanzibar.. sawa.
Je, billion 400 SI zaidi ya bajeti ya wizara moja Kwa upande wa Zanzibar?
Je, wizara ya afya Kwa upande wa Zanzibar ni kiasi Gani Kwa wajuvi wa mambo.?
Zanzibar inapopokea sh. 400 b. Italipa yenyewe au TANGANYIKA? NA KAMA NI KWELI NAOMBA KUELIMISHWA HAPA SIELEWI.
Ebu nitajie NCHI mbili tu zisizokopesheka na unipe 7bu mbili kwann hazikopesheki hizo NCHIuoga wako ndio unaskini wako,
Tanzania inakopa popote, na inakopesheka kokote duniani kiasi cha fedha kadiri inavyoona inafaa kwaajili ya miradi ya maendeleo kwa wanainchi wake, inaweza kukopa kwenye taasisi za fedha duniani au nchi mahalia, na inaaminika na kukopesheka kwasababu ina uwezo na uhakika wa kulipa au kurejesha kwa wakati madeni hayo [emoji205]
kwan kuna ubaya wowote hapo ndrugu zango...
ulizia vizuri miongoni mwa machimbuko yaliyosababosha kuibuka vuguvugu la gen z hapo kwa jirani zetu,Ebu nitajie NCHI mbili tu zisizokopesheka na unipe 7bu mbili kwann hazikopesheki hizo NCHI
Then turudi kujadiri MSEMO ULIOZOELEKA WA GENGE LA WAHUNI WA KISIASA KUWA TANZANIA INAKOPESHEKA
Muangalieni huyu Mjinga👆Unatisha Nini kwani wewe
Mbona nyie mnajiita wazanzibar Kwa kuwa mpo Zanzibar, Sisi watanganyika tuna kosa kujiita watanganyika? Je, ni kosa kuuliza Tanganyika italipa huu MKOPO au Zanzibar ilikojengwa hospital? Ninachojua Zanzibar Haina UWEZO WA kulipa MKOPO huo..kama Ina UWEZO nitajie ni kias gan imekopa na inalipa.Nilipoona neno TANGANYIKA nikaona nikupuuze tu. Hii hoja ya kibaguzi iliyoasisiwa na CHADEMA haitakaa iwasaidie kuingia ikulu. Watanzania hawawezi kukubali kuwachagua watu watakaoleta ubaguzi. Mkipata madaraka mtasema mnataka jamhuri ya kaskazini kama ambavyo mmekuwa mkiota.
Kinaya ni dhihakahebu fafanua vizuri hapo kwa ufupi kwa faida ya wadau 🐒
Ni kweli, sababu inayofanya Zanzibar isiweze kukopa, ni kwasababu Zanzibar sio nchi, haina sovereignty, has no capacity to enter into an international agreements or contracts, hivyo JMT ndio inaidhamini Zanzibar.Sheria inasema Zanzibar hairuhusiwi kukopa isipokuwa Kwa Koti la Muungano yaani Tanzania.
No anayekopa ni Zanzibar kwa udhamini wa JMT. Mkopaji ni Zanzibar, Tanzania ni mdhamini tuu.Hivyo anayeenda kukopa ni Tanzania Bara
Sii kweli, fedha ni kweli zinakwenda kutumika Zanzibar, anayelipa ni Zanzibar wenyewe, ila ikitokea Zanzibar akashindwa kulipa, hapo ndipo Mdhamini anawajibika kumlipia.Hela zinaenda kutumika Zanzibar
Ila zitalipwa na Mkopaji ambaye ni Tanzania Bara
Ni kweli na ndio maana tutaulinda kwa gharama yoyote.Hizi ni Faida na matunda ya Muungano
Matunda ya Muungano hayo Mkuu 🤗Ni kweli