Huu mkopo wa Korea kwa Tanzania unatisha

Huu mkopo wa Korea kwa Tanzania unatisha

Mbona nyie mnajiita wazanzibar Kwa kuwa mpo Zanzibar, Sisi watanganyika tuna kosa kujiita watanganyika? Je, ni kosa kuuliza Tanganyika italipa huu MKOPO au Zanzibar ilikojengwa hospital? Ninachojua Zanzibar Haina UWEZO WA kulipa MKOPO huo..kama Ina UWEZO nitajie ni kias gan imekopa na inalipa.
Pili utawala wa majoka ya kijani FISIEM ( EEE FISI MTU) HAWATAKI kusikia Tanganyika ikitajwa Kwa kuwa ndiye mlishi wa machotara wavuvi na walima karafuu ..vibarua wa waarabu na washirazi bahati ya Hindi... Sasa kama mnakiri hamna kilimo zaidi ya kilimo Cha mizizi ya majini mnaachaje kuwa tegemezi Tanganyika?
Unaonekana unaedea kuwa kichaa kutokana na viwu uliona kiufupi wenzako wa Zanzibar WAMEBARIKIWA sio kama wewe CHOGO
 
CHA AJABU MACHOGO NDIO MANILAZIMISHA ZANZIBAR KWENYE MUUNGANO! ILE NI NCHI YA KIARABU MMEPELEKA KAFIRI WENU NA KWA TAARIFA YENU LEO HII KAMA ZISINGEKUA ZIMEUNGANA ZANZIBAR INGEKUA IMEENDELEA SANAA
 
Hizo hospital Zanzibar hazitibu wazazibar tu Bali Kuna watanganyika tele tunatibiwa huko tena Bure kabisa hutoi hata mia mbovu.
 
Kusema Zanzibar sawa ila kutamka tu Tanganyika ni nongwa!!! Kwani Tanganyika siyo nchi iliyopata uhuru wake 1961? Punguza nongwa ndugu.
Huyu jamaaa hataki kusikia Tanganyika inatamkwa.... Aache ufwala
 
Kutozwa kwenu fedha hizo ni shida zenu na viongozi wenu wa CCM haiwahusu wazazibar
Population kidogo, kama mnakopewa billion 400...wakti idadi ya watu ni sawa na MKOA mmoja wa singida kuna Nini zaidi ya kubweteka tu.. nimesoma na wazanzibar nilikuwa kugundua mbastahili kupewa Bure, Kuna kipindi nilidate mzanzibar..nilipata taabu sana hawajui hata kwenda sokoni..kula ugali hawezi ,yeye wali , nikamwambia nenda Zanzibar Kwa Wala birian na utorojo..nimekaa Zanzibar mwaka wengi wa wazanzibar wanategemea kilimo Cha mwani, wanategemea misaada Kwa ndugu mahauseboy na mahouse girl Oman na Dubai, Kwa Hali hii ni ngumu sana kutumia jasho kupata huduma hata chakula tunawalisha na kila KITU...na viongoz unaowasema ndo HUYU CHURA KIZIWI ALIYEINGIA KWA KUSUBIRI KIFO CHA MZEEE
 
  • JPM mbn aliijenga chato
  • Mbn kuna mikoa ilitoa mawaziri hadi 4
  • Subra ni ibada Mkuu
Tanganyika inajitosheleza Kwa rasilimali zake.. chato ziwa tu linatosha tena sehemu ya chato ingetosha kulipa...magufuli pia hakujenga CHATO TU, angalia stand ya nyegezi, nyamahongolo, angalia mji wa serikali Dodoma, barabara za ubungo na stand ya magufuli, BWAWA LA MWL NYERERE, angalia SGR, angalia shule zote za kitaifa za advance Tanzania.BIHAWANA, NYAKATO, BWIRU, TOSAMAGANGA, TABORAS, ZOTE ZILIKARABATIWA WAKATI WA MAGUFULI..SASA MAMA Mpaka anamaliza hamna barabara mpya aliyoijenga tunaona mikataba na mawe ya msingi yanawekwa tu hna kilichoanza,.. mfano barabara ya njia nne jiji la mbeya tangu tarehe 14/2/2023 mkataba ulisainiwa lkn Leo hii mwaka umeisha barabara haijaanza kujengwa, angalia barabara ya sengerema, nyehunge , nkome mpaka Leo haijajengwa wakti tayr mktaba ulishasainiwa ... Ameshindwa hata kuendeleza miradi aliyoikuta .

Badala yake ...….......
 
Juzi hapa tumesikia kuwa Tanzania imekopa zaidi ya billion 400 Kwa ajili ya ujenzi wa Hospitali Zanzibar, sawa.
Bajeti ya Zanzibar Kwa mwaka 24/25 ni trilion 2.6. maana yake ni kuwa sh. 2.6 trilion ni bajeti ya wizara zote Zanzibar.. sawa.
Je, billion 400 SI zaidi ya bajeti ya wizara moja Kwa upande wa Zanzibar?
Je, wizara ya afya Kwa upande wa Zanzibar ni kiasi Gani Kwa wajuvi wa mambo.?
Zanzibar inapopokea sh. 400 b. Italipa yenyewe au TANGANYIKA? NA KAMA NI KWELI NAOMBA KUELIMISHWA HAPA SIELEWI.
Ni jambo la uelewa tuu linakusumbua.Mkopo wa Zanzibar unachukuliwa Kwa mgongo wa Tanzania na ndio maana ikilazimi Mkopo uliochukuliwa na Tanzania kugawanywa inafanyika hivyo kama hakuna huo ulazima basi zitaishia Bara au zitaishia Zanzibar.

Mwisho pesa hailetwi yote at par Bali mda Kwa mda.
 
Back
Top Bottom