Huu mkopo wa Korea kwa Tanzania unatisha

Huu mkopo wa Korea kwa Tanzania unatisha

Ni matunda ya Muungano kwa Zanzibar inayopokea na kutumia tu, ila ni mzigo mzito sana kwa Tanganyika inayowajibika kulipa
Mkuu tutafanyaje wakati wakubwa ndiyo wameshaamua.

Juzi nilikuwa Zanzibar, Kwa kweli speed yao ya maendeleo imeanza kuridhisha.

Naona miradi ya miundombinu inajengwa jengwa sio haba.

Faida na matunda ya Muungano hayo
 
uoga wako ndio unaskini wako,

Tanzania inakopa popote, na inakopesheka kokote duniani kiasi cha fedha kadiri inavyoona inafaa kwaajili ya miradi ya maendeleo kwa wanainchi wake, inaweza kukopa kwenye taasisi za fedha duniani au nchi mahalia, na inaaminika na kukopesheka kwasababu ina uwezo na uhakika wa kulipa au kurejesha kwa wakati madeni hayo 🐒

kwan kuna ubaya wowote hapo ndrugu zango...
Ccm inawatu wajinga sana Aisee,
 
Nilipoona neno TANGANYIKA nikaona nikupuuze tu. Hii hoja ya kibaguzi iliyoasisiwa na CHADEMA haitakaa iwasaidie kuingia ikulu. Watanzania hawawezi kukubali kuwachagua watu watakaoleta ubaguzi. Mkipata madaraka mtasema mnataka jamhuri ya kaskazini kama ambavyo mmekuwa mkiota.
Kusema Zanzibar sawa ila kutamka tu Tanganyika ni nongwa!!! Kwani Tanganyika siyo nchi iliyopata uhuru wake 1961? Punguza nongwa ndugu.
 
Juzi hapa tumesikia kuwa Tanzania imekopa zaidi ya billion 400 Kwa ajili ya ujenzi wa Hospitali Zanzibar, sawa.
Bajeti ya Zanzibar Kwa mwaka 24/25 ni trilion 2.6. maana yake ni kuwa sh. 2.6 trilion ni bajeti ya wizara zote Zanzibar.. sawa.
Je, billion 400 SI zaidi ya bajeti ya wizara moja Kwa upande wa Zanzibar?
Je, wizara ya afya Kwa upande wa Zanzibar ni kiasi Gani Kwa wajuvi wa mambo.?
Zanzibar inapopokea sh. 400 b. Italipa yenyewe au TANGANYIKA? NA KAMA NI KWELI NAOMBA KUELIMISHWA HAPA SIELEWI.
Inakuwaje zanzibar ikope je ni nchi ama vipi, maana rais wa zanzibar anatambulika kama rais ndabi ya mipaka ya tanzania
 
Sheria inasema Zanzibar hairuhusiwi kukopa isipokuwa Kwa Koti la Muungano yaani Tanzania.

Hivyo anayeenda kukopa ni Tanzania Bara

Hela zinaenda kutumika Zanzibar

Ila zitalipwa na Mkopaji ambaye ni Tanzania Bara

Hizi ni Faida na matunda ya Muungano
Hakuna tra zanzibar?..2011 kulikua na kampeni ya kutangaza utalii kule epl,ilikua visit tanzania,land of kilimanjaro, serengeti and zanzibar
 
Juzi hapa tumesikia kuwa Tanzania imekopa zaidi ya billion 400 Kwa ajili ya ujenzi wa Hospitali Zanzibar, sawa.
Bajeti ya Zanzibar Kwa mwaka 24/25 ni trilion 2.6. maana yake ni kuwa sh. 2.6 trilion ni bajeti ya wizara zote Zanzibar.. sawa.
Je, billion 400 SI zaidi ya bajeti ya wizara moja Kwa upande wa Zanzibar?
Je, wizara ya afya Kwa upande wa Zanzibar ni kiasi Gani Kwa wajuvi wa mambo.?
Zanzibar inapopokea sh. 400 b. Italipa yenyewe au TANGANYIKA? NA KAMA NI KWELI NAOMBA KUELIMISHWA HAPA SIELEWI.
mkopo unalipwa na znz au na wabara?
huyu demu nilikua namheshimu ila kwa yanayoendelea mhhh
 
Hakuna tra zanzibar?..2011 kulikua na kampeni ya kutangaza utalii kule epl,ilikua visit tanzania,land of kilimanjaro, serengeti and zanzibar
Wanayo mamlaka yao ya Mapato lakini Sheria haiwaruhusu wao kwenda kukopa Zanzibar as Zanzibar unless waombe kupitia Tanzania (URT).
 
Back
Top Bottom