Huu mkopo wa Korea kwa Tanzania unatisha

Ni matunda ya Muungano kwa Zanzibar inayopokea na kutumia tu, ila ni mzigo mzito sana kwa Tanganyika inayowajibika kulipa
Mkuu tutafanyaje wakati wakubwa ndiyo wameshaamua.

Juzi nilikuwa Zanzibar, Kwa kweli speed yao ya maendeleo imeanza kuridhisha.

Naona miradi ya miundombinu inajengwa jengwa sio haba.

Faida na matunda ya Muungano hayo
 
Ccm inawatu wajinga sana Aisee,
 
Kusema Zanzibar sawa ila kutamka tu Tanganyika ni nongwa!!! Kwani Tanganyika siyo nchi iliyopata uhuru wake 1961? Punguza nongwa ndugu.
 
Inakuwaje zanzibar ikope je ni nchi ama vipi, maana rais wa zanzibar anatambulika kama rais ndabi ya mipaka ya tanzania
 
Hakuna tra zanzibar?..2011 kulikua na kampeni ya kutangaza utalii kule epl,ilikua visit tanzania,land of kilimanjaro, serengeti and zanzibar
 
mkopo unalipwa na znz au na wabara?
huyu demu nilikua namheshimu ila kwa yanayoendelea mhhh
 
Hakuna tra zanzibar?..2011 kulikua na kampeni ya kutangaza utalii kule epl,ilikua visit tanzania,land of kilimanjaro, serengeti and zanzibar
Wanayo mamlaka yao ya Mapato lakini Sheria haiwaruhusu wao kwenda kukopa Zanzibar as Zanzibar unless waombe kupitia Tanzania (URT).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…