Salaam!
Hii mikutano ya video conferencing tuliizoea time zile kuna korona, na mara nyinginw vilifanyika kupunguza Gharama.
Sasa chama kikubwa namna hii kufanya mkutano mkubwa namna hii kwa video conferencing ni sababu ya ukata?
Sitaki ukiamini hili maana ni majuzi tu wamedai kupokea bilioni 3 kwa maombi ya ubunge KUPITIA fomu za wagombea chamani.
Wenye majibu mtujuze.🙏
Inawezekana pesa zimeibwa zote,Kimsingi si uhaba wa bajeti, kama tuliweza kununua pikipiki na baiskeli nchi nzima tutashindwa kuhudumia wajumbe tu? Ni dharula inayoweza kujadilika online
Wanadai zulitoka kwenye fuko kubwa la mgombea!Pesa ziliishia kununua mabasi na pikipiki.
Yawezakuwa matajiri wamegoma kuchangia chama!Acha wauane
Mmh unaongea kwa hisia mkuuMwisho wa huyu mama utakuwa mbaya zaidi ya Mfalme Sauli.
Kwanza, hana nia njema na chama chake.
Pili, hana nia njema na Tanganyika.
Tatu, anaingilia haki na uhuru wa mtu wa kuabudu.
Nne, kuvunja katiba ya nchi na chama ---- kwa ulafi wa madaraka.
Tano, mtapanya pesa za walipa kodi, kwa matumizi yasiyo na tija kwa Taifa.
Sita, mkopaaji hodari, lakini sio msimamizi mzuri wa pesa alizokopa.
Saba, Mbinafsishaji wa mali za umma, kwa maslahi binafsi.
Nane, Anajificha kwenye kivuli cha kilemba na umama.
Tisa, Fisadi, Muuaji na Dikteta.
Kumi, Amekataliwa kwanzia kwenye Chama, Nchi, Afrika na Dunia nzima
Mwisho, Amekataliwa Mbinguni.
Wewe huna uchungu na nchi yako?Mmh unaongea kwa hisia mkuu
Akina nani wanafanyia huko?Salaam!
Hii mikutano ya video conferencing tuliizoea time zile kuna korona, na mara nyinginw vilifanyika kupunguza Gharama.
Sasa chama kikubwa namna hii kufanya mkutano mkubwa namna hii kwa video conferencing ni sababu ya ukata?
Sitaki ukiamini hili maana ni majuzi tu wamedai kupokea bilioni 3 kwa maombi ya ubunge KUPITIA fomu za wagombea chamani.
Wenye majibu mtujuze.🙏
Nimesikia nchi jirani kuna tukio la mkutano mkubwa unafanyikia huko mitandaoni Tena ghafula!Akina nani wanafanyia huko?
Kumbe corona bado ipo?Wanaweza kusingizia corona kama ulivyosema
Basi mambo ya Nchi za nje waachie wenye nchi yao. Sisi Tanzania tulinde amani yetuNimesikia nchi jirani kuna tukio la mkutano mkubwa unafanyikia huko mitandaoni Tena ghafula!