-ArkadHill
JF-Expert Member
- Nov 1, 2023
- 1,669
- 2,806
Chakushangaza ni kwamba marekebisho ya katiba ya chama yanawekana tena haraka haraka tu ila marekebisho ya katiba ya uchaguzi hayawezekani😅😅😅Salaam!
Hii mikutano ya video conferencing tuliizoea time zile kuna korona, na mara nyinginw vilifanyika kupunguza Gharama.
Sasa chama kikubwa namna hii kufanya mkutano mkubwa namna hii kwa video conferencing ni sababu ya ukata?
Sitaki ukiamini hili maana ni majuzi tu wamedai kupokea bilioni 3 kwa maombi ya ubunge KUPITIA fomu za wagombea chamani.
Wenye majibu mtujuze.🙏