-ArkadHill
JF-Expert Member
- Nov 1, 2023
- 1,669
- 2,806
Chakushangaza ni kwamba marekebisho ya katiba ya chama yanawekana tena haraka haraka tu ila marekebisho ya katiba ya uchaguzi hayawezekani😅😅😅Salaam!
Hii mikutano ya video conferencing tuliizoea time zile kuna korona, na mara nyinginw vilifanyika kupunguza Gharama.
Sasa chama kikubwa namna hii kufanya mkutano mkubwa namna hii kwa video conferencing ni sababu ya ukata?
Sitaki ukiamini hili maana ni majuzi tu wamedai kupokea bilioni 3 kwa maombi ya ubunge KUPITIA fomu za wagombea chamani.
Wenye majibu mtujuze.🙏
Type evidenceTayari mikoa 20 imekataa mkutano huo Kwa Kuwa hesabu za kuhesabu watu haiwezekani Kwa mtandao
mtu kama CPA makala ananuka mdogo na kichwa chake kama goroli za makopo ya rangi anaweza kuleta kisingizio kuwa kuweka harufu mbariKumbe corona bado ipo?
NRNE 💪 🔥Chakushangaza ni kwamba marekebisho ya katiba ya chama yanawekana tena haraka haraka tu ila marekebisho ya katiba ya uchaguzi hayawezekani😅😅😅
Uchungu Kila Mtu anao , changamoto tunayoyaongea huishia katika nadharia miaka nenda Rudi na si vitendoWewe huna uchungu na nchi yako?
Mambo ya 1+1=3Tayari mikoa 20 imekataa mkutano huo Kwa Kuwa hesabu za kuhesabu watu haiwezekani Kwa mtandao
ImeshapenyaNRNE 💪 🔥
Hata leo kuku wanaendelea na dua, na mwewe wanaendelea na maisha yaoCCM itapata pigo kubwa sana mwaka huu, pigo moja tu, pigo lenye nguvu, pigo lililonyooka, pigo takatifu.