Moshi mweupe/mweusi ni man made mkuu.ni Signal kuwa jambo letu status yake ipoje: Red Indians wenye USA yao walitumia Signs za Moshi wa aina mbalimbali kuashiria Vita.Vikao vya amani etcNILikuwa naangalia wapiga kura wa kuchagua pope mpya
Kabla ya yotre ealieleza tukiona moshi mweupe ujue papa amekuja
Mweusi mjue shuhuli pevu
Sada nawaza huu moshi hutokea wapi
Na kama ni sababu ya moto anayewasha n nani??
Kila la kheri mtoa moshi embu kwa walivyochoka wapiga kura njoo na moshi mweupe pls wana psg
TUANZE KULAMBA WINE MAPEMA
Hahahahaha....ila wazee naoWatalamu wataleta ila nilisoma mahali ni karatasi zinachanganywa na chemical flan zikichomwa moto hivyo wanajua ipi italeta nyeusi ipi italeta mweupe..
Zamani tulipigwa kamba na mzee mmoja akidai kuwa huo moshi unatokea wenyewe Mungu akimchagua anae mtaka
Basi anaewasha ni mtu mweusi...Unatokea jikoni
Usitukane.Akuna ujinga kwa Wakatoliki.....Bibilia ni Kitabu cha WAKATOLIKI....Wapo mbele ya wote...na awana makuuu...Ni mjinga mmoja anafichwa humo ndani anawasha kulingana na hesabu aliyopewa na viongozi wa kisiasa ili kuwahadaa waumini wa kanisa katoliki waone kuwa ni muujiza kutoka majuu kumbe ni mojawapo ya mipango yao
chimneySada nawaza huu moshi hutokea wapi
Chimney personanayewasha n nani??