Huu moshi mweupe ama mweusi kuchagua pope unatokea wapi..nani anawasha moto wake

Huu moshi mweupe ama mweusi kuchagua pope unatokea wapi..nani anawasha moto wake

Naona umetoka mweusi

KAZI inaendeleaa
 
Sijui kura azijatosha
 
Watalamu wataleta ila nilisoma mahali ni karatasi zinachanganywa na chemical flan zikichomwa moto hivyo wanajua ipi italeta nyeusi ipi italeta mweupe..

Zamani tulipigwa kamba na mzee mmoja akidai kuwa huo moshi unatokea wenyewe Mungu akimchagua anae mtaka
Uko sahihi. Zile karatasi za kura ndizo huchomwa kwa kuchanganya na kemikali.
 
Back
Top Bottom