Huu Moto wa Katiba Mpya naona umekolea sana nchi nzima

Nilikuwa Sumbawanga wiki iliyopita kwa shughuli binafsi. Nilifika kijiweni kubrashi viatu na kukutana na kijana anawafafanulia wenzake umuhimu wa Katiba mpya kwa maneno machache na ya kueleweka alisema;
"Katiba mpya si muhimu kwa CCM na Wapinzani tu kwa sababu hata isipokuja wataendelea kubishana, lakini ni muhimu kwa Watanzania wote kwa sababu isipokuja tutaendelea kuumia".
 

Itaji Namba Moja La Tanzania Ni Katiba Mpya[emoji3577]
 
Ila magufuli alikuwa na nguvu hakuna wanainch wakawaida alikuwa upande wa UPINZANI ISIPOKUWA NUSU KUNDI YA WATUMISHI WA CHINI

WAFANYA BIASHARA WAKUBWA

NA GENGE LA SIASA AMBALO LILIACHWA

NADHANI HILI TUKUBALIANE NALO MPAKA SASA WANAINCHI WENGI WENYE KIPATO CHA CHINI BADO WANAAMINI KUWA MAGUFULI ALIKUWA BORA MAANA ALIKUWA UPANDE WAO MUDA WOTE

hivyo ili ongoze nchi lazima uwe upande wa wanainchi walio wengi mfano , mfanyakazi ni mtu uliyemwajiri , lazima upange wewe atakavyoishi mfano , kwenye makampuni wafanyakazi sio kwamba wanalipwa vizuri ila wanatumilishwa kuliko kawaida


Matajiri ndio huwa wanaamua nani awe kiongozi , hivyo nchi nyingi za africa zinaviongozi ambao sio chagua la wanainchi ila matajiri mfano ccm kipindi cha nyuma ilikuwa inaitisha mkutano wa Matajiri , ili kuwasadia fedha za kuendeshea uchaguzi tuliona hasa awamu ya nne

Magufuli kama binadamu alikuwa na mapungufu yake lakini alijaribu kuirudisha serikali kwa wanainchi na kuitoa mikononi wa wazawa wa viongozi , hii nchi saivi iko kama ya kikuhani
Angalia kijana wa pinda ,kijana wa makamba , kijana wa mwinyi kijana wa kikwete , kinachana wa bigedia nawiye,akina kijazi , akina masauni

Akina mchengerwa

Nadhani watu kama hawa hawawezi kutumikia wanainchi ila wanarinda cv zao na za wazazi wao

Mwanzoni tuliona SUKUMA GANG

SASA TUTAKUWA NA PEMBA GANG AU UGUNJA GANG hii kazi yake ni kuhakikisha NCHI inatimiza matakwa ya MWENYEKITI anayetambuliwa kuwa HAJIRIBIWI
 
Ni kelele tuu mnapiga ila hakuna mnachoweza kufanya Ili mpate ni utashi wa Rais na ccm,kwani wapi umesikia wanazungumzia Katiba?

Hiyo kitu haipo, swallow this.
Siku zaja, Moto unakolea, tutapata KATIBA MPYA iliyobora kwa ajili ya manufaa ya kila mtanzania,,,
 
Lisu alishafutiwa kesi zooooote kinasubiliwa ni ulinzi tu kupewa
 
YAANI UKIWA MPUMBAVU SIYO LAZIMA UJE HUMU JF KUONYESHA UPUMBAVU WAKO KATIBA UTAISIKIA TU KWA SASA HAYO NI MAONI YAKO KAKOJOE UKALAE USUBIRI MMEO AJE UMPIKIE KISHA UKAMPANULIE BASI MENGINE TUACHIE WANAUME
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…