Huu Msafara wa Rais Magufuli sijawahi uona

Tena yule wa USA alipokuja aliingia hadi na mbwa kunusa ikulu yetu lakini mibavicha haikusema kitu zaidi ya kusifu ulinzi wa wamarekani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nchi nyingine, rais kama yupo mkoa anaofanyia kazi mfano dar , gari hupunguzwa hadi 10 hivi, msafara huwa mkubwa anapokuwa nje ya mkoa ana safari ndefu


Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie wajinga sana, hivi serikali haijui kuwa ninyi na magenge yenu ya uharifu mnachopanga, idiot wakubwa, tena juzi tu hapa mlivyowasahaurifu na wapumbavu mlishangilia kuhusu kuugua rais. Acha alindwe maana taasisi ndiyo inaamua ulinzi na siyo rais as individual
 
Leo Msafara wa Rais wa wanyonge anayejali kodi za wananchi sijapata uona tangu nizaliwe na Nchi nilizowahi tembelea.

Nimehesabu Magari yamefika 53.
Zote ni V8.

Noma sana.
Mkuu ungechukua video ingenoga mkuu
 
Tena yule wa USA alipokuja aliingia hadi na mbwa kunusa ikulu yetu lakini mibavicha haikusema kitu zaidi ya kusifu ulinzi wa wamarekani

Sent using Jamii Forums mobile app
Bavicha ni kikundi cha vichaaa. Wao wanadhani rais anaamka na kusema leo nataka gari moja hahaha, hawajui taasisi ya urais inamua aina ya ulinzi, mijinga kabisa
 
Leo Msafara wa Rais wa wanyonge anayejali kodi za wananchi sijapata uona tangu nizaliwe na Nchi nilizowahi tembelea.

Nimehesabu Magari yamefika 53.
Zote ni V8.

Noma sana.
Lazima uwe mkubwa unajua shughuli ya leo? Wizara ya Ujenzi, Ofisi ya Mkoa, ofisi ya Wilaya Kinondoni/Ubungo, Ikulu, wakandarasi Barabara za Morroco, Kimara, Fly over Ubungo wote wanashuhudia ukaguzi unatarajia magari 2?
 
Ndipo ninapojiuliza hofu yote hiyo ya nini wakati unapendwa!!? Inaonekana kazi ya urais ndiyo kazi mbaya kuliko zote duniani maana wanatarajia risasi kifuani au kichwani muda wowote!
 
Kwaninj mnalishwa mstango pori mnakubali?

Kwa taarifa yako hayo magari hayanywi maguta kama mnavyoambiwa. Kuna speed yakifika yanaanza kutumia umeme. Uliza wanaoyaendesha watakuambia

God save us
 
Leo Msafara wa Rais wa wanyonge anayejali kodi za wananchi sijapata uona tangu nizaliwe na Nchi nilizowahi tembelea.

Nimehesabu Magari yamefika 53.
Zote ni V8.

Noma sana.
Acha wivu wa kimama wewe

Huyo ni kiongoz mkuu wa nchi msafara wake must uwe na "security tight" mambo mengi yako nyuma ya pazia, so we kaa tuliza kinyampio yan unataka Rais afanye ziara ako na gari moja like Taxi drive?

Pongezi kwao wenye jukumu la kumlinda wanafanya kazi nzuri sana[emoji122][emoji122][emoji122]

BIG UP!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…