Huu msalaba kwenye paji la uso ni nini

Huu msalaba kwenye paji la uso ni nini

Unakumbushwa tu ya kuwa baada ya maisha yako hapa duniani, huo mwili wako utageuka na kuwa udongo wa kurutubisha mazao ya chakula ulichokula.

Kwa hiyo ujitahidi kuishi maisha ya kumpendeza Mungu ili roho yako ipate makazi ya kudumu mbinguni, badala ya kuishia motoni/ahera/jehanamu.
Ndio upake matope usoni?
 
Hao ndo binadamu pekee wamaosema wanafunga ila wanakula kama mchwa masaa 24 ukimuuliza kafunga nini anasema kafunga kula makande siku 40, mwingine kafunga kula dagaa mchele siku 40.
Kit u kama hukijui ni bora ukae kimya kuliko kujiongelesha unajiona mjanja kumbe unachekwa kwa dharau🙄🙄🙄 fata ya kwako ya kubusu jiwe maka eti unampiga shetan huku umevaa nepi😂😂😁😁😁
 
Katika imani kuna mambo yanafanyika sana. Na leo hii naona msalaba kwa baadhi yenu kwenye paji la uso.

Waislam wanagunga tu kwankunuia hii kupakana matope usoni hii ni ishara gani.?

Kwanin kama ni kufunga isiwe kiifikra zaidi kuliko kupakaa matope, huu sio ushirikina kweli?

Pili, hii tabia kila mwewa Kufunga kwa waislam ukifika, kuna watu wanasogeza spika zao karib na nyumban kupiga kelele eti ni mahubiri kwa nini iwe wakati huu kama sio kutafutana ubaya

Pambana na imani yako nenda kabinue matako kawaoneshe ulivyojaliwa wowowo msikitini,mengine hayakuhusu
 
Kit u kama hukijui ni bora ukae kimya kuliko kujiongelesha unajiona mjanja kumbe unachekwa kwa dharau🙄🙄🙄 fata ya kwako ya kubusu jiwe maka eti unampiga shetan huku umevaa nepi😂😂😁😁😁
Mtu akikuona anaweza kudhani una akili kumbe jumapili unaenda kaomba toba mbele ya mifuko miwili ya cement kama huyu mwenzako
downloadfile.png
 
Kinakuuma mini nenda kabusu jiwe kule maka lenye kilo 1000 za cement,eti linapiga shetani na kuhu limevaa nepi😁😁😂😂🤣🤣🤣
Sawa tumekusikia pumzika jumapili ukaliombe toba sanamu ulilolitengeneza kwa mikono yako
downloadfile.png
 
Tsk, agenda za aina hii malengo huwa ni nini haswa?

Wao kutakasika au kupotoka hakukuongezei wala kukupunguzia chochote ndugu, chokochoko, dhihaka na kebehi dhidi ya imani yoyote hazitakufaa wala kukunufaisha kwa chochote

Wao wana dini yao na wewe una dini yako, jikite kwenye lane yako, achana na hizo mbanga haijalishi wao hufanya hivyo au la
 
Back
Top Bottom