Mganguzi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 2,311
- 4,689
Kujiuzuru kwa Hamphrey sio kwamba ni ajali au imetokea tu kama mvua za masika la !! Kuna mkakati mzito kutoka ndani na nje ya nchi ,
Polepole mpaka anaamua kujiuzuru ni kwamba ni yeye ndio amewekwa mbele na Kuna makubaliano maalumu na malengo maalumu! Polepole sio kichaa Yuko sirias na ana uhakika na anachokifanya! Polepole ni sawa na msitu Ambao haijulikani umebeba wanyama wa aina gani
Lakini nitoe Rai kwa Wana CCM kuanzia taifa mpaka matawi msije kumpuuza huyu mtu, huu msitu unawanyama wakali mno na wengine wanatisha mno !!
Mikakati iliyopo ni mikubwa na walionyuma yake ni wakubwa mno kuanzia ndani na nje ya nchi ,,Polepole mda sio mrefu ataisimamisha nchi sio kwa watu wanavyodhani ila kwa ajenda ambayo hakuna aliyeitegemea ,naona Kuna bomu la kutisha kama Hiroshima linaenda kutua CCM !!