G
guest-1790917349
Guest
Afghanistan umeona unabii wa yajayo 4 days a go?
Tar 3, 7 na 28 zina matukio
Tar 3, 7 na 28 zina matukio
Huku Gwajima,kule polepole basi mambo ni safiiiiKesho analiamsha dude ,tukae kwa kutulia
Ash wapi hawajamchukulia poa mi vile tu hayupo bongo,wameshindwa namna ya kumpata 😀Washamchukulia poa na Kumdharau, Acha angushe hilo bomu tuone panapo vuja
Wewe unajua hata kujua kwelo polepole yuko wapi..?Very cheap insinuation. Alijihuzuru Spika Ndugai mkasema hivyo hivyo. Leo yupo huko anapambana kurudi mjengoni. Polepole is just a peanut in CCM and Tanzania politics!
Ccm ni sikio la kufaKujiuzuru kwa Hamphrey sio kwamba ni ajali au imetokea tu kama mvua za masika la !! Kuna mkakati mzito kutoka ndani na nje ya nchi ,
Polepole mpaka anaamua kujiuzuru ni kwamba ni yeye ndio amewekwa mbele na Kuna makubaliano maalumu na malengo maalumu! Polepole sio kichaa Yuko sirias na ana uhakika na anachokifanya! Polepole ni sawa na msitu Ambao haijulikani umebeba wanyama wa aina gani
Lakini nitoe Rai kwa Wana CCM kuanzia taifa mpaka matawi msije kumpuuza huyu mtu, huu msitu unawanyama wakali mno na wengine wanatisha mno !!
Mikakati iliyopo ni mikubwa na walionyuma yake ni wakubwa mno kuanzia ndani na nje ya nchi ,,Polepole mda sio mrefu ataisimamisha nchi sio kwa watu wanavyodhani ila kwa ajenda ambayo hakuna aliyeitegemea ,naona Kuna bomu la kutisha kama Hiroshima linaenda kutua CCM !!
Acha wafu wazikaneKujiuzuru kwa Hamphrey sio kwamba ni ajali au imetokea tu kama mvua za masika la !! Kuna mkakati mzito kutoka ndani na nje ya nchi ,
Polepole mpaka anaamua kujiuzuru ni kwamba ni yeye ndio amewekwa mbele na Kuna makubaliano maalumu na malengo maalumu! Polepole sio kichaa Yuko sirias na ana uhakika na anachokifanya! Polepole ni sawa na msitu Ambao haijulikani umebeba wanyama wa aina gani
Lakini nitoe Rai kwa Wana CCM kuanzia taifa mpaka matawi msije kumpuuza huyu mtu, huu msitu unawanyama wakali mno na wengine wanatisha mno !!
Mikakati iliyopo ni mikubwa na walionyuma yake ni wakubwa mno kuanzia ndani na nje ya nchi ,,Polepole mda sio mrefu ataisimamisha nchi sio kwa watu wanavyodhani ila kwa ajenda ambayo hakuna aliyeitegemea ,naona Kuna bomu la kutisha kama Hiroshima linaenda kutua CCM !!
Msitu wa kunguru ndo uwe tishio?! Not true.Kujiuzuru kwa Hamphrey sio kwamba ni ajali au imetokea tu kama mvua za masika la !! Kuna mkakati mzito kutoka ndani na nje ya nchi ,
Polepole mpaka anaamua kujiuzuru ni kwamba ni yeye ndio amewekwa mbele na Kuna makubaliano maalumu na malengo maalumu! Polepole sio kichaa Yuko sirias na ana uhakika na anachokifanya! Polepole ni sawa na msitu Ambao haijulikani umebeba wanyama wa aina gani
Lakini nitoe Rai kwa Wana CCM kuanzia taifa mpaka matawi msije kumpuuza huyu mtu, huu msitu unawanyama wakali mno na wengine wanatisha mno !!
Mikakati iliyopo ni mikubwa na walionyuma yake ni wakubwa mno kuanzia ndani na nje ya nchi ,,Polepole mda sio mrefu ataisimamisha nchi sio kwa watu wanavyodhani ila kwa ajenda ambayo hakuna aliyeitegemea ,naona Kuna bomu la kutisha kama Hiroshima linaenda kutua CCM !!
Vitisho vya kitoto sana hiviKujiuzuru kwa Hamphrey sio kwamba ni ajali au imetokea tu kama mvua za masika la !! Kuna mkakati mzito kutoka ndani na nje ya nchi ,
Polepole mpaka anaamua kujiuzuru ni kwamba ni yeye ndio amewekwa mbele na Kuna makubaliano maalumu na malengo maalumu! Polepole sio kichaa Yuko sirias na ana uhakika na anachokifanya! Polepole ni sawa na msitu Ambao haijulikani umebeba wanyama wa aina gani
Lakini nitoe Rai kwa Wana CCM kuanzia taifa mpaka matawi msije kumpuuza huyu mtu, huu msitu unawanyama wakali mno na wengine wanatisha mno !!
Mikakati iliyopo ni mikubwa na walionyuma yake ni wakubwa mno kuanzia ndani na nje ya nchi ,,Polepole mda sio mrefu ataisimamisha nchi sio kwa watu wanavyodhani ila kwa ajenda ambayo hakuna aliyeitegemea ,naona Kuna bomu la kutisha kama Hiroshima linaenda kutua CCM !!
huyu ndugai atarudi bungeni wajuba? Sasa kama makamba kafyekelewa mbali, mtu aliyefika tano bora kugombea urais amefyekelewa hatua ya awali ya ubunge, si ndio zamu ya ndugai imewadia? Kawekewa watu kibao wa kuchuana nao, tusubiri tuoneVery cheap insinuation. Alijihuzuru Spika Ndugai mkasema hivyo hivyo. Leo yupo huko anapambana kurudi mjengoni. Polepole is just a peanut in CCM and Tanzania politics!
ndugai kama ndugai sioni kama atarudi bungeni, anayeona asemeN
Ndugai ni ndugai na alijiuzuru kwa makosa yake
Na wewe nani huko kwenye politics za CCM au mshika pembe tu wenzako wanakula bora hata polepole alishwahi kufika ngazi juu CCMVery cheap insinuation. Alijihuzuru Spika Ndugai mkasema hivyo hivyo. Leo yupo huko anapambana kurudi mjengoni. Polepole is just a peanut in CCM and Tanzania politics!
Ni mkakati endelevu mpaka warushe udongoKama wamemkata January, unadhani polepole anaweza kuwa na cha ziada? Kwamba polepole ana siri nyingi kuhusu nchi hii kuliko January??
Gang ya polepole ikubali imeshindwa this time ijipange next time... huo ndio ushauri wa muhimu zaidi kwao na hiyo ndio maturity kwenye siasa..