G
Hamna lolote njaa tu zimekujaa na hela za kichawa za bure bureUkimuona Rambo au Schwarzenegger anakinukisha kwenye movie, ujue kuna watu wanaofanikisha hayo wakiwa "behind the scene"!
Press ya Jana sikuifatilia sijui ilikuajeHivi press Bado jmn? 😁😁
Aisee mtandao ulivyosumbuaP
Press ya Jana sikuifatilia sijui ilikuaje
Siyo yeye tu wapo weeengi sana. Na hawa ndoyo wapiga mbinja wa ccmIf your capacity of thinking is like this pole sana
Kutokana hisia na macho yako ulivyomuona, kama ni hivyo siwezi kupingana na hisia zako, ila mimi binafsi namuona ni mtu makini kwa kipindi hiki wahuni wanataka kujimilisha nchi kwa familia zao, kuanzia kwenye teuzi zao.Ukimuangalia, utagundua Kuna mambo yanantafuna nahana chochote nikama mtu mwenye miamko
Nabado anaishi nyumba hiyo hiyo, nipropaganda tu watuwamsahau aliyeshikiriwaKutokana hisia na macho yako ulivyomuona, kama ni hivyo siwezi kupingana na hisia zako, ila mimi binafsi namuona ni mtu makini kwa kipindi hiki wahuni wanataka kujimilisha nchi kwa familia zao, kuanzia kwenye teuzi zao.
Unaweza kuhama nyumba kwa ufa?Nabado anaishi nyumba hiyo hiyo, nipropaganda tu watuwamsahau aliyeshikiriwa
Mligeuka kuwa msitu!Mganguzi hajigangi!
Anyway, siku moja nilikuwa kibosho na rafiki ZANGU, tukasema killimajaro Ile pale, twendeni tuingie ndani ya msitu tuone kuna Nini,
Tukaanza safari mdogo mdogo Nia yetu ni kuona msitu tukiwa ndani ya msitu, sasa badala ya kuona msitu, tukaanza kuona miti inakaribiana sana Kila tuliposogea mbele,Hali ya hewa pia ilikuwa nzuri sana na tulivu.
Ilifika time, hatukuona mwanga wa jua Bali miali tu kutokana na ukubwa wa miti tuliyokutana nayo,
Tulipozidi kwenda mbele, tukakutana na aina mbalimbali ya wanyama na tumbili na wadudu nk nk
Tukafika mahali na kusema, mbona hatuoni msitu?
Mmoja akatuambia kuwa, ukiwa ndani ya msitu SI rahisi kuona msitu, utaona miti,
Kuona msitu, ni rahisi ukiwa mbali.
Tukageuza kurudi tulipokuwa, na kamwe hatukuona msitu tukiwa ndani ya msitu!
Mdomo aufany marekebishoUnaweza kuhama nyuma kwa ufa?
Yes unatakiwa uwe na VPN muda wowote wanaweza kuzima internet HawaAisee mtandao ulivyosumbua
Nasikia walifanya yao, ila wenye VPN waliona
Leo nitaangalia
KumekuchaYes namfuatilia sn huyu
Kumeanza kuchangamka