Very cheap insinuation. Alijiuzulu Spika Ndugai mkasema hivyo hivyo. Leo yupo huko anapambana kurudi mjengoni. Polepole is just a peanut in CCM and Tanzania politics!Kujiuzuru kwa Hamphrey sio kwamba ni ajali au imetokea tu kama mvua za masika la !! Kuna mkakati mzito kutoka ndani na nje ya nchi ,
Polepole mpaka anaamua kujiuzuru ni kwamba ni yeye ndio amewekwa mbele na Kuna makubaliano maalumu na malengo maalumu! Polepole sio kichaa Yuko sirias na ana uhakika na anachokifanya! Polepole ni sawa na msitu Ambao haijulikani umebeba wanyama wa aina gani
Lakini nitoe Rai kwa Wana CCM kuanzia taifa mpaka matawi msije kumpuuza huyu mtu, huu msitu unawanyama wakali mno na wengine wanatisha mno !!
Mikakati iliyopo ni mikubwa na walionyuma yake ni wakubwa mno kuanzia ndani na nje ya nchi ,,Polepole mda sio mrefu ataisimamisha nchi sio kwa watu wanavyodhani ila kwa ajenda ambayo hakuna aliyeitegemea ,naona Kuna bomu la kutisha kama Hiroshima linaenda kutua CCM !!
Naunga Mkono hoja kuhusu jamii ya Wajinga.Bahati mbaya sana kijana yuko peke yake akijaribu kuifikisha dhamira yake njema kwenye jamii ya wajinga waliotekwa na kikundi cha watesi aka elites walioamua kuifanya ardhi ya Tanzania shamba lao na watanzania wengi ni wapagazi wao.
Aisee umefika mbali narudia kusema msitu huu unatisha sanaMganguzi hajigangi!
Anyway, siku moja nilikuwa kibosho na rafiki ZANGU, tukasema killimajaro Ile pale, twendeni tuingie ndani ya msitu tuone kuna Nini,
Tukaanza safari mdogo mdogo Nia yetu ni kuona msitu tukiwa ndani ya msitu, sasa badala ya kuona msitu, tukaanza kuona miti inakaribiana sana Kila tuliposogea mbele,Hali ya hewa pia ilikuwa nzuri sana na tulivu.
Ilifika time, hatukuona mwanga wa jua Bali miali tu kutokana na ukubwa wa miti tuliyokutana nayo,
Tulipozidi kwenda mbele, tukakutana na aina mbalimbali ya wanyama na tumbili na wadudu nk nk
Tukafika mahali na kusema, mbona hatuoni msitu?
Mmoja akatuambia kuwa, ukiwa ndani ya msitu SI rahisi kuona msitu, utaona miti,
Kuona msitu, ni rahisi ukiwa mbali.
Tukageuza kurudi tulipokuwa, na kamwe hatukuona msitu tukiwa ndani ya msitu!
What about yours! Ahahahahaha!!If your capacity of thinking is like this pole sana
Is this your high thinking capacity? Very good!! You are a real genius!!!N
Ndugai ni ndugai na alijiuzuru kwa makosa yake
Kama wamemkata January, unadhani polepole anaweza kuwa na cha ziada? Kwamba polepole ana siri nyingi kuhusu nchi hii kuliko January??Kujiuzuru kwa Hamphrey sio kwamba ni ajali au imetokea tu kama mvua za masika la !! Kuna mkakati mzito kutoka ndani na nje ya nchi ,
Polepole mpaka anaamua kujiuzuru ni kwamba ni yeye ndio amewekwa mbele na Kuna makubaliano maalumu na malengo maalumu! Polepole sio kichaa Yuko sirias na ana uhakika na anachokifanya! Polepole ni sawa na msitu Ambao haijulikani umebeba wanyama wa aina gani
Lakini nitoe Rai kwa Wana CCM kuanzia taifa mpaka matawi msije kumpuuza huyu mtu, huu msitu unawanyama wakali mno na wengine wanatisha mno !!
Mikakati iliyopo ni mikubwa na walionyuma yake ni wakubwa mno kuanzia ndani na nje ya nchi ,,Polepole mda sio mrefu ataisimamisha nchi sio kwa watu wanavyodhani ila kwa ajenda ambayo hakuna aliyeitegemea ,naona Kuna bomu la kutisha kama Hiroshima linaenda kutua CCM !!
Kesho press nyingineKujiuzuru kwa Hamphrey sio kwamba ni ajali au imetokea tu kama mvua za masika la !! Kuna mkakati mzito kutoka ndani na nje ya nchi ,