Huu mtindo wa nywele kiofisi unakubalika?

Hii style inawekwa kwa kuchana nywele na brash na kyna doc hii ndo style yake yani ni yeye na brush kama mwanafunzi wa sekondar
 
Kama unanywele laini sio lazima uweke dawa ni mafuta tu
Mwanaume kuweka dawa kwenye nywele kama Wanawake utaonekana SHOGA kwa hapa bongo au Africa kwa ujumla.

Labda huko Ulaya ndio wataona kawaida.
 
Ni kweli kwa brush ina kubali ila kupata nyuzi 360 kwa brush pekee ni kazi labda uwe na nywele laini au upate mafuta mazuri
Hii style inawekwa kwa kuchana nywele na brash na kyna doc hii ndo style yake yani ni yeye na brush kama mwanafunzi wa sekondar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…